hakika lazima nifuge hawa kenbro
Chasha una supplier huku Dsm? au hadi huko huko mtu awafuate?
Unauza kuanzia kuku wangapi bro? maana sisi wengine ndio kwanza wakulima wadogo tunataka kujaribisha
Mkuu wanafika na ni kiwango chako tu hata ukitaka wangapi tutakutumia ni wewe tu, na so far kuna mambo narekebisha na by mwezi wa 11 nitakuja na habari mpya nyingine ambayo inaweza kuwasuluhisho kwa nyie wa Dar na kwingineko
Kenbro ni 'Dual Purpose Chicks' ambao ni kienyeji walioboreshwa (improved) na waliendelezwa na kampuni ya kifaransa na kuzalishwa Kenya, wana rangi nyekundu na wana maumbo makubwa sana na hasa majogoo.
Wanastahimili sana magonjwa na hawali sana ukilinganisha kuku wa kisasa.
Kuanzia mwezi wa sita mwishoni nitakuwa na vifaranga wake so atakaye hitaji anaweza ni-contata Arusha Tanzania.
Bei 2,500 kwa kifaranga cha wiki Moja na nusu
Call kwa kutumi hii namba 0783691072 na 0713691071
Sasa mkuu hao kuku unatuambia ni wa kienyeji. 1)Je ni kienyeji huko ambako hii "breed" iligundulika au ni wa kienyeji kwa huku kwetu Tz? 2) Na kama ni wa kienyeji huko walikogunduliwa wewe unafikiri wanaweza kustahilimi hali ya hewa ya Tz?
Mkuu Stock ya sasa unao kuku wa aina gani kaka?
mkuu wapo wote ila ni kwa Oda, But kuanzia mwzi wa 11 watakuwepo breeds zingine mpya kama 4 hivi
Kenbro ni 'Dual Purpose Chicks' ambao ni kienyeji walioboreshwa (improved) na waliendelezwa na kampuni ya kifaransa na kuzalishwa Kenya, wana rangi nyekundu na wana maumbo makubwa sana na hasa majogoo.
Wanastahimili sana magonjwa na hawali sana ukilinganisha kuku wa kisasa.
Kuanzia mwezi wa sita mwishoni nitakuwa na vifaranga wake so atakaye hitaji anaweza ni-contata Arusha Tanzania.
Bei 2,500 kwa kifaranga cha wiki Moja na nusu
Call kwa kutumi hii namba 0783691072 na 0713691071
Sasa kiongozi na mimi nikihitaji kujua hizo strategies utani Pm na Yule naye akihitaji utam PM, na yule mwingine, na yule, na yule!! huoni kwamba hilo litakuwa ni tatizo? kwa nini usibandike hapa kwa faida ya wote?
Please naomba utujuze kama umeanza kusafirisha vigaranga halafu tuwekee picha please
Kwa kweli nami nahitaji kununua hao vifaranga lakini tangu uzi umeanza naona anajiandaa bado na kila mtu anamwambia private
can i get the chicks in dar ! will pay upon receipt (kenbro,malawi,australia,dorep) ! If it's possible PM pls ! Thanks
Mkuu uzi huu ni wa siku nyingi sana, na ushapitwa na wakati, Vifaranga wapo ukihitaji utapata