Kuku aina ya Kenbro

Kuku aina ya Kenbro

Habari jamvini. Nimesoma uzi huu nikavutiwa na hawa kuku waitwao Dorep. Je twaweza kupata vifaranga?
 
Chasha una supplier huku Dsm? au hadi huko huko mtu awafuate?

Unauza kuanzia kuku wangapi bro? maana sisi wengine ndio kwanza wakulima wadogo tunataka kujaribisha
 
Mkuu wanafika na ni kiwango chako tu hata ukitaka wangapi tutakutumia ni wewe tu, na so far kuna mambo narekebisha na by mwezi wa 11 nitakuja na habari mpya nyingine ambayo inaweza kuwasuluhisho kwa nyie wa Dar na kwingineko
 
Mkuu Stock ya sasa unao kuku wa aina gani kaka?
 
Kenbro ni 'Dual Purpose Chicks' ambao ni kienyeji walioboreshwa (improved) na waliendelezwa na kampuni ya kifaransa na kuzalishwa Kenya, wana rangi nyekundu na wana maumbo makubwa sana na hasa majogoo.

Wanastahimili sana magonjwa na hawali sana ukilinganisha kuku wa kisasa.

Kuanzia mwezi wa sita mwishoni nitakuwa na vifaranga wake so atakaye hitaji anaweza ni-contata Arusha Tanzania.

Bei 2,500 kwa kifaranga cha wiki Moja na nusu

Call kwa kutumi hii namba 0783691072 na 0713691071

Sasa mkuu hao kuku unatuambia ni wa kienyeji. 1)Je ni kienyeji huko ambako hii "breed" iligundulika au ni wa kienyeji kwa huku kwetu Tz? 2) Na kama ni wa kienyeji huko walikogunduliwa wewe unafikiri wanaweza kustahilimi hali ya hewa ya Tz?
 
Mkuu hawa ni Hybreed hawa atamii mayai, ingawa, kwenyekufugwa wanafugwa vyovyote vile,Unaweza wafuga kama wa nyama maana yake utawalisha msosi wa kuku wa nyama na unaweza wafuga kama kuku wa mayai,

Ila ni nzuri kufugwa kama wa mayai, make ndo wanakuwa vizuri zaidi, mazingira hayana shida ndo maana wanaweza fugwa Kenya so hata Tanzani wanafugwa bila shida, na unaweza walisha msosi wa kawaida kabisa kwa mwanzo ndo unaweza walisha chakula cha dukani, Ila kwa Kuku kama SASSO na SUPERCHICK unaweza walisha pumba tu ya kawaida from mwanzo hadi mwisho
 
Kipeperushi hiki kinatoa mawasiliano ya dealer wa Kienyeji Improved Chicken
1455113_473894052727124_1563207908_n.jpg

image

Kenbro ni 'Dual Purpose Chicks' ambao ni kienyeji walioboreshwa (improved) na waliendelezwa na kampuni ya kifaransa na kuzalishwa Kenya, wana rangi nyekundu na wana maumbo makubwa sana na hasa majogoo.

Wanastahimili sana magonjwa na hawali sana ukilinganisha kuku wa kisasa.

Kuanzia mwezi wa sita mwishoni nitakuwa na vifaranga wake so atakaye hitaji anaweza ni-contata Arusha Tanzania.

Bei 2,500 kwa kifaranga cha wiki Moja na nusu

Call kwa kutumi hii namba 0783691072 na 0713691071

hi there,
unao hawa vifaranga wa kuku wa malawi?
nahitaji kama hamsini

call me or email
0767659145, 0787659145
alphonce@alphonce.net
 
can i get the chicks in dar ! will pay upon receipt (kenbro,malawi,australia,dorep) ! If it's possible PM pls ! Thanks
 
Sasa kiongozi na mimi nikihitaji kujua hizo strategies utani Pm na Yule naye akihitaji utam PM, na yule mwingine, na yule, na yule!! huoni kwamba hilo litakuwa ni tatizo? kwa nini usibandike hapa kwa faida ya wote?

Kwa kweli nami nahitaji kununua hao vifaranga lakini tangu uzi umeanza naona anajiandaa bado na kila mtu anamwambia private
 
Please naomba utujuze kama umeanza kusafirisha vigaranga halafu tuwekee picha please
 
Kwa kweli nami nahitaji kununua hao vifaranga lakini tangu uzi umeanza naona anajiandaa bado na kila mtu anamwambia private

Mkuu uzi huu ni wa siku nyingi sana, na ushapitwa na wakati, Vifaranga wapo ukihitaji utapata
 
can i get the chicks in dar ! will pay upon receipt (kenbro,malawi,australia,dorep) ! If it's possible PM pls ! Thanks

Mkuu nimeku pm ila utapata wa Kenbro au KARI au KUROILER au Dorep. hao Malawi mimi sina
 
Mkuu uzi huu ni wa siku nyingi sana, na ushapitwa na wakati, Vifaranga wapo ukihitaji utapata

Haujapitwa na wakati kwani nimejifunza mengi
Kama nitahitaji ntakutafuta thanx, naomba unijulishe uko sehemu gani arusha nitume mtu aje kuangalia
 
kaka chasa ubarikiwe sana aisee kwa maono yako..ivi mimi ndoo nataka kuanza na kuku mia mia mbil dorep na kenbro natakiwa kuwa na kiasi gan kunua vifaranga pia kuwalisha na ujenz wa mabanda.asante
 
Back
Top Bottom