CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #121
kaka chasa ubarikiwe sana aisee kwa maono yako..ivi mimi ndoo nataka kuanza na kuku mia mia mbil dorep na kenbro natakiwa kuwa na kiasi gan kunua vifaranga pia kuwalisha na ujenz wa mabanda.asante
[ndugu niko dar nataka hamsini pia kama una aina nyingine pls.
sawa kabisa kaka chasa mie nipo dsm eneo la banda lipo na nataka kuanza na kuku mia au mia mbili sema bado sjajua gharama za banda I mean now npo kwenye harakati za kuongeza kipato by December naanza project naamin kenbro na dorep wote watakuwepo japo dorep ujasema vifaranga itakuwa how much pia mie ntaanza na vifaranga kabisa hata vya wiki mbili kakaKaribu sana mkuu uko wapi? Inategemeana na unataka wa Umuri gani na kuhusu Banda nalo inategemeana na materio utakayo tumia, Kuna ujenzi simple sana wa banda la kuku ambao hautumii gharama kabisa, na Ishu ya msosi nayo inadependi na mazingira.
Unaweza ukawa unawalisha kuku na hapo hapo ukawa na supliment zingine kama wadudu, mchwa, mboga za majaini na kazalika na hapo ni lazima gharama za kuwalisha ziwe chini
sawa kabisa kaka chasa mie nipo dsm eneo la banda lipo na nataka kuanza na kuku mia au mia mbili sema bado sjajua gharama za banda I mean now npo kwenye harakati za kuongeza kipato by December naanza project naamin kenbro na dorep wote watakuwepo japo dorep ujasema vifaranga itakuwa how much pia mie ntaanza na vifaranga kabisa hata vya wiki mbili kaka
Wapi kwa Dar naweza pata mayai ya kuku wa kienyeji ya kutotoresha ila yawe ya kuku wanaoweza kuatamia
Je wanaweza atamia wenyewe au lazima tutumie incubator tenaNinayo ya kuku chotara yaani majogoo ni ya layers na mitetea ni ya kienyeji. bei ya tray moja ni tsh 16000/ tu
Nitumie email nitakutumia Ramani ya Banda, ni pm
Nitumie email nitakutumia Ramani ya Banda, ni pm
Nitumie email nitakutumia Ramani ya Banda, ni pm
nataka kujua Mkuu hawa dorep na kenbro naweza kuwa nawatotolesha mayai yake au haiwezekani?
eernest51@yahoo.com, na makadilio ya gharama, natanguliza shukrani mkuu
Gharama inakuwa ngumu kwa sababu ya maeneo husika ila kama eneo unalo fugia lina fensi yaani ukuta au basi ulinzi wa kutosha gharama za banda zinaweza kuwa chache mno