CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
- #121
kaka chasa ubarikiwe sana aisee kwa maono yako..ivi mimi ndoo nataka kuanza na kuku mia mia mbil dorep na kenbro natakiwa kuwa na kiasi gan kunua vifaranga pia kuwalisha na ujenz wa mabanda.asante
Karibu sana mkuu uko wapi? Inategemeana na unataka wa Umuri gani na kuhusu Banda nalo inategemeana na materio utakayo tumia, Kuna ujenzi simple sana wa banda la kuku ambao hautumii gharama kabisa, na Ishu ya msosi nayo inadependi na mazingira.
Unaweza ukawa unawalisha kuku na hapo hapo ukawa na supliment zingine kama wadudu, mchwa, mboga za majaini na kazalika na hapo ni lazima gharama za kuwalisha ziwe chini