Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Napo viral yake imekuja kipindi tete huku kwa namna fulani ikihusika moja na moja na CCM kupitia uharibufu wa mabango ya mgombea... LAKINI anaingia kwenye list ya
Dr. Shaka
Majaliwa mvuvi
Mandonga nk
CCM wangeshapita naye kitambo lakini kuna mambo mawili yanawafanya wasite japo wanamtamani kwelikweli
1. Kilichomfanya atrend ni tukio la kuchanwa/kuharibiwa mabango ya mgombea wao! Wakimpa kiki sass hivi itaonekana wazi ni kundi kinzani ndani ya chama dhidi ya mgombea
2. Sintohafamu ya uchaguzi, mpasuko mkubwa na makundi ndani ya chama!
Kwahiyo kwasasa ameanza kutumiwa na wapenda fursa za papo kwa papo huku chama chawala kikimtamani kwelikweli...
Sasa hivi trend ya kuhojiwa na waandishi uchwara inazidi kupanda! Kuna wengine wameshaanza kumtumia kwenye matangazo yao.. Haya ya biashara za mtaani
Hii ni nafasi pekee ya kutafuta nauli ya kianzio cha safari ya maisha before it is too late! Akiibuka mwingine.. Kuku atasahaulika fasta Sana!
View: https://x.com/JNtamagala40110/status/1964566165424157080?t=d7R0jtGDMVbb0jFtOAKH5g&s=19