Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #21
Mwamba huyu hapa mtu wa kazi akiwa kwenye interview na kituo kikubwa Cha habari hapa nchini ameeleza situation nzima na jinsi alivyopata umaarufu wa ghafla baada ya kunaswa na kamera wakati akijitetea kwenye kinyang'anyilo Cha wizi
Mtu wa kazi amedai kuwa yeye hajawahi kuwa na tabia ya wizi kama wengi wanavyodhani ila ni tu alipewa kazi ya kubeba mbao kwenye toroli baadae ndiyo akanaswa na baada ya hapo alijitokeza mtu aliyempa kazi ndiyo mambo yakaishaView attachment 3477194