Alipokamatwa ndio akasema hawezi kuacha hiyo kazi ππKuna kijana alibomoa mabamgo akachukua zile mbao, yeye alipewa tenda ya kubeba
Maana yeye ni mtu wa kazi na anatafta kazπ€£π€£Alipokamatwa ndio akasema hawezi kuacha hiyo kazi ππ
Jamaa kanyoka sana... "Sheria ifuate mkondo wake" hahaha Cc: Mahondaw [/QUOTE
Mdau anauliza: Watu wameanza kuprint T-shirt zenye jina na brand ya "Mtu wa Kazi" @kuku_hamadi pamoja na mchoro wa picha yake, kisha kuzitumia kujinufaisha bila yeye mwenyewe kupata chochote picha hizo zinasambaa mitandaoni
β Swali: Sheria inasemaje kuhusu haki ya mtu kwenye brand, jina na picha yake binafsi? Je, ni sahihi mtu mwingine kutumia alichokiumba mtu kwa faida yake bila ridhaa?
Si amevunja sheria, acha sheria ifuate mkondo wakeKisa!?π€π₯Ί
Hicho kichogo sasaπ π