Kuku gani nifuge kibiashara?

Ndio kuwa unakusanya mayai kuku akitaga toa yahifadhi Ila kila baada ya siku saba unaenda kutotolesha
 
Je,naweza kufuga kuku wa kienyeji lakini nikawa nawapatia huduma kama kuku wa kisasa?
Unaweza kufuga wa kienyeji na ukawapa huduma ya wa kisasa ....je Nini madhumuni yako?
 
Unaweza kufuga wa kienyeji na ukawapa huduma ya wa kisasa ....je Nini madhumuni yako?
Lengo nikua wakue vizuri na haraka ili nifanye biashara ya nyama ya kuku wa kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…