Kwetusongea
Senior Member
- Nov 30, 2014
- 110
- 41
Ndio kuwa unakusanya mayai kuku akitaga toa yahifadhi Ila kila baada ya siku saba unaenda kutotoleshamkuu mimi pia kienyeji nataka niwe natotolesha na mashine inawezekana??? Maana ninao wachache na pia nataka mwezi wa saba nitafute hata 1.5MIl niitumbukize kwa kuku wa mayai itabidi nitafute mtu wa kunipa shule ya kiwango cha chakula na chanjo maana eneo ninalo.