huyo kuku ni mzuri,usimchinjeKuku mwenyewe katotoa leo leo!
Kuna tiba/kinga ya kuwafanya vifaranga hao wote wakue?
yaani hata kama kifaranga akifa, afe kwa kuangukiwa na ndoo au jembe, ila sio afe kwa ugonjwa.
NB; Naishi porini, hakuna duka la dawa.
hivyo dawa naomba ziwe za asili, maana kuna kila aina ya mmea hapa
Kanga kwenye uleaji wavivu sana njia mzuri ni kumpa kuku mayaimimi nina kanga alitotoa 24 wamebaki 2 ndani ya wiki
Sijui zinaitwaje kwa scientific nameHizo pilipili za kamurali zikoje!
Haswaa yani mwewe anapaa na kifaranga wala mtetea hastuki anamwangalia tu nilikuwa siwafungii kwenye banda maana wanapiga kelele sana napia ukiwafungia hawaatamii ila sasa nimeanza kuwafungia nione kama watazowea bandani kuepuka fadhaa ya mweweKanga kwenye uleaji wavivu sana njia mzuri ni kumpa kuku mayai