Kuku katotoa vifaranga 24, nifanye nini ili vyote vikue?

Kuku katotoa vifaranga 24, nifanye nini ili vyote vikue?

Sauda

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
860
Reaction score
1,106
Kuku mwenyewe katotoa leo leo!
Kuna tiba/kinga ya kuwafanya vifaranga hao wote wakue?
yaani hata kama kifaranga akifa, afe kwa kuangukiwa na ndoo au jembe, ila sio afe kwa ugonjwa.

NB; Naishi porini, hakuna duka la dawa.
hivyo dawa naomba ziwe za asili, maana kuna kila aina ya mmea hapa
 
Waache tu watakua,ukiwapa dawa tu umewauaWrite your reply...
 
umeuliza swali nyeti sana tena muhimu kweli kweli. Kuku wengi wanaototoa mwisho wa siku hukuza mmo ama wawili tu sijui nini tatizo
 
Pilipili za Kamurali ni dawa tosha but kuna mfalme wa angani anaitwa Eagle ni noma kama kweli uko polini
 
Kuku mwenyewe katotoa leo leo!
Kuna tiba/kinga ya kuwafanya vifaranga hao wote wakue?
yaani hata kama kifaranga akifa, afe kwa kuangukiwa na ndoo au jembe, ila sio afe kwa ugonjwa.

NB; Naishi porini, hakuna duka la dawa.
hivyo dawa naomba ziwe za asili, maana kuna kila aina ya mmea hapa
huyo kuku ni mzuri,usimchinje
 
Kanga kwenye uleaji wavivu sana njia mzuri ni kumpa kuku mayai
Haswaa yani mwewe anapaa na kifaranga wala mtetea hastuki anamwangalia tu nilikuwa siwafungii kwenye banda maana wanapiga kelele sana napia ukiwafungia hawaatamii ila sasa nimeanza kuwafungia nione kama watazowea bandani kuepuka fadhaa ya mwewe
 
Back
Top Bottom