Kuku kibudu aliyekufa akachinjwa ana shida gani?

Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Kuchinjwa ni Kabla ya kufa,. Sio afe ndo achinjwe. Ni vile ninavyoamini Mimi. Kama kashakufa ni haramu na mwenyezimungu anajua zaidi.
 
Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Mfu hafi tena.. Au hauliwi tena.. Kitendo cha kuchinja tafsiri yake ni kuua.. Ni kutoa uhai.. Kibudu kimeshakufa sasa unakichinja tena ili iweje😂
 
Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Hebu waambie na zile nyama wanazonunua kule buchani au zile wanazokula kwa mama ntilie au mishkaki ya kwenye chipsi wanazokula huko mtaani wana uhakika kuwa ng'ombe hakuwa kibudu. Je, wanaweza kuitambua nyama kibudu inayonukia baada ya kuwekwa tui la nazi? Au nyama kutoka kwenye mnyama kibudu iliyochomwa vizuri na kuwekwa viungo vya Kizanzibar?
 
Back
Top Bottom