Kuku kibudu aliyekufa akachinjwa ana shida gani?

Haya ni maneno ya mafumbo usiyachukulie jumla jumla, wayahudi wana sheria ngumu sana hususan kwenye vyakula, na Yesu hakuja kuitengua Torati bali kuitimiliza, na huu mfano si kwa ajili ya vyakula bali ni matendo yetu tunayotenda ndiyo yanayotufanya kuwa najisi. Hebu pitia Marko 7:20
Akaendelea kusema, “Kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia unajisi. Maana kutoka ndani, moyoni mwa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi, uchoyo, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, kashfa, kiburi na upumbavu. Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.”
HII NDO AYA MNATUMIA KUMTETEA KITIMOTO MBNA LEO UMEGEUKA TENA UNASEMA HAVUNGUMZII CHAKULA
 
Hamna shida mbona kwenye vilabu vya taputapu watu wanakunywa mpaka supu za mizoga
Makabila mengi tu hapo zamani walikuwa wananyonga. Hii kuchinja siyo jadi yetu waafrika. Kama baadhi ya wachaga walikuwa wanachukuwa ng'ombe mzima, wanamfunga kamba kwa kumlaza chini kama wanamchinja halafu wanaziba matundu ya pua kwa matope na mdomo wanaufunga kwa kamba. Mnyama anateseka kwa kukosa hewa mpaka anakufa.
 
Nadharia ☝️

Sumu inaweza kuwepo kwenye misuli (interstitial of muscle tissues), damu, au mifupa. Kama lengo ni kuchinja ili kutililisha sumu nje ya mwili, vipi endapo Kuna sumu nyingine kwenye Interstitial of muscle tissues.
Pia, vimelea vingine huwa vinakuwepo ndani ya cell za mnyama (cell zinaweza kuwa RBC, WBC, lymph cells, liver cells, etc).
Kwa hiyo, dhana ya kwamba kuchinja kunasaidia kutoa nje vimelea Vya magonjwa au sumu, kwangu Mimi, inaweza kuwa na ukweli wa <10%.
Mwanadamu ni kiumbe pekee kwenye uso huu wa ardhi ambaye anayeweza kutumia akili aliyoumbiwa nayo ili kuweza kuyasarifu maisha yake, mwandamu huyu amepitia hatua mbalimbali katika maisha yake mpaka amefikia hapa alipo. Katika sifa za viumbe hai kula ni mojawapo, na hii ndiyo sifa iliyo muhimu sana ambayo ndiyo inayomuwezesha mwanadamu kuwa hai. Wengi wa wanadamu waliishi na wanaishi kutokana na miongozo inayosemekana imetoka kwa Mungu, lakini leo hii kutokana na hiyo akili aliyopewa binadamu na kuweza kujua mengi ambayo huko nyuma alikuwa hayajui, elimu imemuwezesha kutambua chakula gani ni kizuri kwa afya na chakula gani si kizuri kwa afya yake. Hata kama ukisoma vitabu vya imani viliweza kuainisha kipi kiliwe na kipi kisiliwe, hata Adamu alivyoumbwa aliambiwa asile tunda la mti fulani au asiukaribie kabisa huo mti, kwani kuna baadhi ya vyakula vinaathiri mwili na hata akili ya mwanadamu. Leo hii tunaona kuna tatizo la nguvu za kiume kupotea hata kwa vijana wetu ila ukiangalia tatizo hilo linasababishwa na vyakula tunavyokula, kwani "ufisadi umedhihiri nchi kavu na baharini kwa yale yanayofanywa na wanadamu kwa mikono yao."
 
🙆🤷🤷
 
Back
Top Bottom