Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mla vibudu huyu hapa unajua hadi ladha ya vibudu!Kuku kibudu anakuwa amepoa nyama yake haina radha tofauti na anayechinjwa akiwa mzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mla vibudu huyu hapa unajua hadi ladha ya vibudu!Kuku kibudu anakuwa amepoa nyama yake haina radha tofauti na anayechinjwa akiwa mzima.
Nadharia ☝️sawa na wataalamu wa afya wanasema mnyama/ndege kuchinjwa kunasaidia kuondoa bacteria mbalimbali ambao wanaweza kusababisha madhara kwa binadamu.Fikiria mnyama/amekufa kwa kula sumu akifa kibudu bila ya kunjinjwa maana yake ni kwamba sumu isalia mwilini mwa mnyama na kumletea madhara mlaji
Umeeleza vizuri mkuu. Mwenye uelewa atakuwa amekuelewa.Nadharia ☝️
Sumu inaweza kuwepo kwenye misuli (interstitial of muscle tissues), damu, au mifupa. Kama lengo ni kuchinja ili kutililisha sumu nje ya mwili, vipi endapo Kuna sumu nyingine kwenye Interstitial of muscle tissues.
Pia vimelea vingine huwa vinakuwepo ndani ya cell za mnyama (cell zinaweza kuwa RBC, WBC, lymph cells, liver cells, etc).
Kwa hiyo, dhana ya kwamba kuchinja kunasaidia kutoa nje vimelea Vya magonjwa au sumu, kwangu Mimi, inaweza kuwa na ukweli wa <10%.
Nyie akina nani mlioambiwa msile mizoga?Tumeambiwa tusile mizoga..!
Waw! Now it is The revealed truth.The hidden truth
Hiyo ni mboga murwa kabisa. Ila mjomba jihadhari na wale wanoko waliomsababishia yule mama wa kg 12 kifungo cha miaka 22 huko Iringa.Upo porin unawinda na mishale
Ukamchoma swala mshale swala akakimbia ukamfuatilia ukakuta amekufa
Je huyu swala nae hafai kuliwa?? Coz umekuta ameshakufa?
Nyie akina nani mlioambiwa msile mizoga?
Mbona ni toka enzi na enzi na bado hatujadhurika.Nyie kuleni tu.ila ina madhara hyo nyama
Kuna nchi wanaua kwa umemeKwa mujibu wa Taratibu za Kisheria kuhusu Uandaaji wa Nyama itakayoliwa na Binadamu (Slaughter Practices ) zinadai pamoja na mengine, mnyama aliyekusudiwa huchinjwa (Hukatwa shingo) akiwa hai na damu yake kutiririshwa. Linapokuja suala la Udini ndipo tunapokutana na Halal, Rabbinic, Traditional n.k. vitu ambavyo ni vya Kiimani zaidi.
Kama mnyama hajaelekezwa Kibla na mkataji shingo akawa ni Mwislamu aliyeidhinishwa; huyo mnyama japo kachinjwa na damu kutiririshwa nyama hiyo Ni Kibudu.
Kama aliyekata shingo sio mwislamu; nyama hiyo ni Kibudu
Yapo masharti mengi sana ya Kiimani i.e. Waislamu, Wayahudi, Kimila/Traditional, n.k. LAKINI katika hali ya kawaida iwe iwavyo; nyama ni nyama tuu alimradi iwe ni Fit for Human consumption.
We jamaa!!? Kwani sisi tunaokula siku zote sio binadamu? Sshyee! (in maasai exclamation). Acha hiyo bhana.Bin-adam..!
Once umekataa hizo mila kwani hata akipitiza masaa mengi nini kinakuzuia kumlaHizo ni mila tu na tamaduni ila mnyama akifa kwa sababu zinazojulikana mfano kamba imemnyonga bahati mbaya , kama hajapitisha masaa mengi unakata shingo una mwandaa tu mezani😅😅
mnapenda kutumia hisia zinazokuja kichwani...Kuku kibudu anakuwa amepoa nyama yake haina radha tofauti na anayechinjwa akiwa mzima.
Zipo njia nyingi zijulikanazo kama Humane Slaughtering methods. Wengine wanaua kwa bunduki(Bolt),wengine kwa risasi, wengine kwa kutumia hewa ya ukaa - hiyo ya umeme ni mojawapo ya Humane slaughtering methods.Kuna nchi wanaua kwa umeme
Hakuna.Once umekataa hizo mila kwani hata akipitiza masaa mengi nini kinakuzuia kumla
Hata akila sumu kali na kufa ndani ya nusu saa wewe nyofoa kichwa muandae vizuri kula supu wala hakutakuwepo na shida yoyote mkuu.Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Anakosa ladha nzuri ila kulika analika tu.Once umekataa hizo mila kwani hata akipitiza masaa mengi nini kinakuzuia kumla
Consume at ur own Risk.Hata akila sumu kali na kufa ndani ya nusu saa wewe nyofoa kichwa muandae vizuri kula supu wala hakutakuwepo na shida yoyote mkuu.
Inategemea amekufa kutokana na ugonjwa gani?Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Ipo sikuMbona ni toka enzi na enzi na bado hatujadhurika.