Kuku kuchi hawa ni original?

Unaweza kumnunua laki moja?
Kipi kitakushawishi umnunue laki moja.

Mkuu hawa kuku aina ya Kuchi na wengine wanaitwa Java aseel ambao wanapatikana sana India na Pakistan
Huwa wanatumika kwa kupiganiswa kama kamari na watu hupata hela kwa kazi hiyo
Wengi wanaobahatika kupata pure breed huwa wanapeleka Zanzibar na kuwauza huko
Anaewajua vizuri na kupata pure anaweza kulipia mpaka laki 4 na kwenda kuwauza kwa 1m (nina ushuhuda)
Hawa kuku ni vita tu hawajui kitu kingine maana hata Afghan wapo sijui ni risasi zile [emoji23]



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Duuuuuuh umetisha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidogo umenipa sababu yenye mashiko.

Lakini kama ingekuwa ni kwa matumizi kama ya kuku wengine ingekuwa upuuzi sana.
 
Angetaka isiwe ghali heri anunue mayai yai la kuchi elfu 10 anatotolesha hata 5 anafuga wakikua watazaliana
Umaweza kununua mayai vinza au ya kawaida yai la kuchi ni kama la kuku wengine tu kubali gharama kama unauhakika na hicho kitu hata huku yai wanauza ten 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepita mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa kama sijakosea wanatokea zimbabwe kwa hapa bongo wako shinyanga tabora na zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…