Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kwa raha zake Angel Nylon
Mpaka chenchi inabaki...!!!!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa raha zake Angel Nylon
Chemsa kdg dakika 5-7 alafu wakati wa kuoka weka moto mdogo 300 pika taraatibu ili viwive vizuri
ThanksMahitaji kwa ajili ya kuku....
Kuku 1.
Limau.
Curry powder 1/2 teaspoon
Paprika 1/2 teaspoon
Tandoor masala 1/2 teaspoon
Tangawizi 1/2 teaspoon
Bizari ya pilai 1/2 teaspoon
Kitunguu saumu 1/2 teaspoon
Chumvi kiasi..
Pilipili ya kuwasha na pilipili manga 1/4 kila moja
Tomato ketchup 3 tablespoon...
Namna ya kutaarisha kuku...
Katakata kuku vipande vipande
Weka viungo vyote bila kusahau chumvi na limao..
Wacha vikolee vizuri walau lisaa 1 au usiku mmoja ila hifadhi katika friji...
Weka katika oven moto mdogo mdogo ili wawive vizuri...
Toa wakiwa tayar wamewiva na kuwa brown...
Namna ya kutaarisha viazi...
Katakata viazi vyako kama vya chipsi ila viwe vinene zaidi...
Chemsa kwa dakika 5 mpaka 7....
Chuja maji mwaga na weka viazi katika tray weka chumvi kiasi na miminia mafuta juu kiasi...ukipenda weka spices upendazo...
Bake moto kiasi...
Toa weka mezani...
Ukipenda waweza katia na saladi
Thanks