Kuku na viazi vya kuoka

Kuku na viazi vya kuoka

Mahitaji kwa ajili ya kuku....

Kuku 1.

Limau.

Curry powder 1/2 teaspoon

Paprika 1/2 teaspoon

Tandoor masala 1/2 teaspoon

Tangawizi 1/2 teaspoon

Bizari ya pilai 1/2 teaspoon

Kitunguu saumu 1/2 teaspoon

Chumvi kiasi..

Pilipili ya kuwasha na pilipili manga 1/4 kila moja

Tomato ketchup 3 tablespoon...

Namna ya kutaarisha kuku...

Katakata kuku vipande vipande

Weka viungo vyote bila kusahau chumvi na limao..

Wacha vikolee vizuri walau lisaa 1 au usiku mmoja ila hifadhi katika friji...

Weka katika oven moto mdogo mdogo ili wawive vizuri...

Toa wakiwa tayar wamewiva na kuwa brown...


Namna ya kutaarisha viazi...

Katakata viazi vyako kama vya chipsi ila viwe vinene zaidi...

Chemsa kwa dakika 5 mpaka 7....

Chuja maji mwaga na weka viazi katika tray weka chumvi kiasi na miminia mafuta juu kiasi...ukipenda weka spices upendazo...

Bake moto kiasi...

Toa weka mezani...

Ukipenda waweza katia na saladi
Thanks
 
Back
Top Bottom