Kuku wa "abuja" Tabora

Nhobhola oyee......
 
Hawa wapishi wanakuwaga maufundi yao wanayajua wenyewe
Kuna mshkaji alikuwa kwa Muchacho Upanga recently kasepa yuko mtaani kama freelant chef. Yeye ame specialise ktk marination and masala.ana visit barbeque shops zaidi ya 5 wanakuwa tayari washatayarisha nyama yeye ni kupaka masala na kusepa.
Huyu jamaa hakauki kwa GSM au Bakhressa, hata wale international chefs wanaompikia Bakhressa likifika suala la Masala wanakaa pembeni wanamuachia jiko
 
Kila mtu na kipaji chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…