Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mkuu ulipotelea wapi?Mpiga miti chicken roast kwa kina Ushimen Usha wahi kufika??.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulipotelea wapi?Mpiga miti chicken roast kwa kina Ushimen Usha wahi kufika??.
shida mzee una penda ubabe, Kama uli kuwa na undugu na Hitler.Kua na adabu na mzee wako, na leo ukichelewa kurudi nimemwambia mama yako asikutunzie chakula...🤨
😄😄😄mpishi havai nguo.....
mambo ni mengi, ila nipo kwa Sasa.Mkuu ulipotelea wapi?
Karibu sana jukwaani mkuumambo ni mengi, ila nipo kwa Sasa.
Nhobhola oyee......Usinichekeshe, hiyo ni aina mojawapo ya mboga za majani iliyokaushwa na kuhifadhiwa kwa matumizi ya baadaye haswa kiangazi. Mchanganyiko wake ni majani ya maboga na majani ya mlenda, vinakaushwa na kusagwa ili kupata kitu kama unga laini hivi. Mchanganyiko huo ukiungwa na tui la karanga ni HATAREEEEE.
Naona unajihami na kujitekenya.!! 😹😹Karibu sana jukwaani mkuu
Mpelekee moto 😹😹mambo ni mengi, ila nipo kwa Sasa.
Ulimakafu ya Ndala?Nhobhola oyee......
Shinisho.Ulimakafu ya Ndala?
ObhejaShinisho.
Kila mtu na kipaji chake.Hawa wapishi wanakuwaga maufundi yao wanayajua wenyewe
Kuna mshkaji alikuwa kwa Muchacho Upanga recently kasepa yuko mtaani kama freelant chef. Yeye ame specialise ktk marination and masala.ana visit barbeque shops zaidi ya 5 wanakuwa tayari washatayarisha nyama yeye ni kupaka masala na kusepa.
Huyu jamaa hakauki kwa GSM au Bakhressa, hata wale international chefs wanaompikia Bakhressa likifika suala la Masala wanakaa pembeni wanamuachia jiko