Kuku wa "abuja" Tabora

Kuku wa "abuja" Tabora

Usinichekeshe, hiyo ni aina mojawapo ya mboga za majani iliyokaushwa na kuhifadhiwa kwa matumizi ya baadaye haswa kiangazi. Mchanganyiko wake ni majani ya maboga na majani ya mlenda, vinakaushwa na kusagwa ili kupata kitu kama unga laini hivi. Mchanganyiko huo ukiungwa na tui la karanga ni HATAREEEEE.
Nhobhola oyee......
 
Hawa wapishi wanakuwaga maufundi yao wanayajua wenyewe
Kuna mshkaji alikuwa kwa Muchacho Upanga recently kasepa yuko mtaani kama freelant chef. Yeye ame specialise ktk marination and masala.ana visit barbeque shops zaidi ya 5 wanakuwa tayari washatayarisha nyama yeye ni kupaka masala na kusepa.
Huyu jamaa hakauki kwa GSM au Bakhressa, hata wale international chefs wanaompikia Bakhressa likifika suala la Masala wanakaa pembeni wanamuachia jiko
 
Kila mtu na kipaji chake.
 
Back
Top Bottom