Hello...kwenye wingi wa utagaji nadhani chakula kinaplay role kubwa..jaribu siku 1 kuwapa layers ya dukani uone kama kutakua na mabadiliko..Pia kuhusu kushindwa kutotoa tatzo litakua kwa majigoo..either unayo machache ukilinganisha na mitetea au majogoo yako hayapandi..jaribu kuangalia hili pia
Hbr...mi nlijifunza hapa hapa ufugaji wa kuku wa kienyeji na ukweli nmefanikiwa sana yaan mpaka sasa namalizia ujenzi wa nyumba yangu ya kisasa mjin...
Kuhusu tatizo lako ni kwamba hakikisha ratio ya jogoo na tetea ni 1:12 pia wkt wa kuatamia hakikisha chakula kipo cha kutosha kwny vyombo ili wale haraka na kurud kuatamia haraka
vizuri sana ndugu yangu kwa kukubali kuwa mjasiria mali naamini utfanikiwa
Kuhusu tatizo la kutotoa bila shaka kuku wako watakuwa wanataga bila kupandwa na majogoo hivyo mayai kutorutubishwa,au huwaandalii sehemu nzuri ya kuatamishia(viota)hivyo kuku kuwa restless na msyai kukosa joto kwa ajili ya vifaranga kukua au pia wakati wa kulalia yawezekana kuku wanasumbuliwa na wadudu km utitiri hivyo kuku kutotulia kwenye kiota.kuhusu uwezo wz kutaga jaribu kuwanunulia layers marsh dukani ujaribu km alivyopendekeza mdau hapo kuu.ALL THE BEST.

Jaribu kuwa na majogoo ya kutosha na kuwapa kuku wako chakula cha kutosha. Pia hakikisha unakuwa na banda la kutosha lililo na viota vya kutagia mayai vya kutosha.
Ukiwa na mtaji wa kutosha unaweza kufikiria kuwa na incubator........
Mengine yote nakubaliana na wewe kaka ila hili la layers sikubaliani nalo maana wakitaga mayai kwa kuwalisha layers huwa hayawezi kutotolewa kabisa ndo maana anaambulia kifaranga kimoja au viwili. Bora awape chakula ya kawaida tu cha asili.
Nimeamua niku pm kutokana na mafanikio uliyoyapata,ulifanyeje mpaka ukawin mkuu?