Kuku wa kienyeji

Kuku wa kienyeji

MILCAH28

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
1,140
Reaction score
327
Hii wanajamiii Wajasiliamali wenzanguu..
Nina shida kidogo hapa kwa wale wanaofuga kuku wa kienyeji....
Nina Kuku wangu wanataga mayai ila awatotoi na kama wakitotoa ni kifaranga kamoja Kimoja nini tatizo...
Pili hawa kuku waajabu sana Mfano mmoja akitaga na mwingine anaendaa kukaaa Pale Pale naye anataGa..
Tatu Nataka kujuaa ni chakula gani cha kuku amabacho nikiwapa watakuwaa wanataga kwa kasi ya 4G...
Ni hayo 2!!!....
 
Attachments

  • 1406698268317.jpg
    1406698268317.jpg
    73.7 KB · Views: 575
Hello...kwenye wingi wa utagaji nadhani chakula kinaplay role kubwa..jaribu siku 1 kuwapa layers ya dukani uone kama kutakua na mabadiliko..Pia kuhusu kushindwa kutotoa tatzo litakua kwa majigoo..either unayo machache ukilinganisha na mitetea au majogoo yako hayapandi..jaribu kuangalia hili pia
 
Hbr...mi nlijifunza hapa hapa ufugaji wa kuku wa kienyeji na ukweli nmefanikiwa sana yaan mpaka sasa namalizia ujenzi wa nyumba yangu ya kisasa mjin...
Kuhusu tatizo lako ni kwamba hakikisha ratio ya jogoo na tetea ni 1:12 pia wkt wa kuatamia hakikisha chakula kipo cha kutosha kwny vyombo ili wale haraka na kurud kuatamia haraka
 
vizuri sana ndugu yangu kwa kukubali kuwa mjasiria mali naamini utfanikiwa
Kuhusu tatizo la kutotoa bila shaka kuku wako watakuwa wanataga bila kupandwa na majogoo hivyo mayai kutorutubishwa,au huwaandalii sehemu nzuri ya kuatamishia(viota)hivyo kuku kuwa restless na msyai kukosa joto kwa ajili ya vifaranga kukua au pia wakati wa kulalia yawezekana kuku wanasumbuliwa na wadudu km utitiri hivyo kuku kutotulia kwenye kiota.kuhusu uwezo wz kutaga jaribu kuwanunulia layers marsh dukani ujaribu km alivyopendekeza mdau hapo kuu.ALL THE BEST.
 
Pia nilisahau kuhusu kutaga pamoja si tatizo ila cha msingi uwe unakusanya mayai yanayotagwa kisha uwawekee mayai mabovi(bortion)mpaka utapokapoona wanaanza kulalia ndipo unawchukulia mayai mazuri mmojammoja unamuhesabia kulingana na mwili wake unamtengea pembeni analalia.
 
Hello...kwenye wingi wa utagaji nadhani chakula kinaplay role kubwa..jaribu siku 1 kuwapa layers ya dukani uone kama kutakua na mabadiliko..Pia kuhusu kushindwa kutotoa tatzo litakua kwa majigoo..either unayo machache ukilinganisha na mitetea au majogoo yako hayapandi..jaribu kuangalia hili pia

Asante mkuu kwa ushauri wako
 
Hbr...mi nlijifunza hapa hapa ufugaji wa kuku wa kienyeji na ukweli nmefanikiwa sana yaan mpaka sasa namalizia ujenzi wa nyumba yangu ya kisasa mjin...
Kuhusu tatizo lako ni kwamba hakikisha ratio ya jogoo na tetea ni 1:12 pia wkt wa kuatamia hakikisha chakula kipo cha kutosha kwny vyombo ili wale haraka na kurud kuatamia haraka

ratio ya 1:12 unamaaana gani mkuu
 
vizuri sana ndugu yangu kwa kukubali kuwa mjasiria mali naamini utfanikiwa
Kuhusu tatizo la kutotoa bila shaka kuku wako watakuwa wanataga bila kupandwa na majogoo hivyo mayai kutorutubishwa,au huwaandalii sehemu nzuri ya kuatamishia(viota)hivyo kuku kuwa restless na msyai kukosa joto kwa ajili ya vifaranga kukua au pia wakati wa kulalia yawezekana kuku wanasumbuliwa na wadudu km utitiri hivyo kuku kutotulia kwenye kiota.kuhusu uwezo wz kutaga jaribu kuwanunulia layers marsh dukani ujaribu km alivyopendekeza mdau hapo kuu.ALL THE BEST.

Mengine yote nakubaliana na wewe kaka ila hili la layers sikubaliani nalo maana wakitaga mayai kwa kuwalisha layers huwa hayawezi kutotolewa kabisa ndo maana anaambulia kifaranga kimoja au viwili. Bora awape chakula ya kawaida tu cha asili.
 
Mkuu Umenifunguaaa sana akili aiseee...Kuhusu utitiri na Pia kuhusu viota..Nazani ndio vitu vitakuwaaa vinasumbuaa hawa kuku wangu...
Vipi Naweza kujuaaa Utengenezaji viotaa vya kuku..je dawa ya utitiri ya kuku ni Ipi....
Halafu kuna uqezekano kuku kutaga kutaga Pasipo kupandwaaa
 
Jaribu kuwa na majogoo ya kutosha na kuwapa kuku wako chakula cha kutosha. Pia hakikisha unakuwa na banda la kutosha lililo na viota vya kutagia mayai vya kutosha.
Ukiwa na mtaji wa kutosha unaweza kufikiria kuwa na incubator........
 
Vioota unavitengezaje
 
kuku wangu wa kienyeji (kifaranga) amevimba vidole vyote ukimuona utazani amevaa la kuchumpa msaada wakuu naona anateseka maana hatembei vizuri.
 
Mengine yote nakubaliana na wewe kaka ila hili la layers sikubaliani nalo maana wakitaga mayai kwa kuwalisha layers huwa hayawezi kutotolewa kabisa ndo maana anaambulia kifaranga kimoja au viwili. Bora awape chakula ya kawaida tu cha asili.

Hapo kwenye Red si kweli kabisa labda uje na utafiti wako hapa, Mayai kuto kutotolewa kunasababishwa na mambo mengi sana.
1. La jogoo likiwemo- Hapa hata wingi wa jogoo kwa mitetea nalo ni tatizo so msiangalie uchache tu.1:12 kama hao kuku wanafungiwa ndani ni sawa ila kama wanaishi wenyewe yaani huria basi hiyo latio inaweza kuwa haitoshi kwa sababu kuku wa kiwa nje ratio ni lazima iwe tofauti na kuku wanao fungiwa ndani mda wote

2. Muda wa hayo mayai kukaa kabla hayajaatamiwa nalo laweza kuwa tatizo

3. Uhifadhi wa mayai kabla hayajaatamiwa.

4. Mayai kuwa ni vyufa, kuna baadhi ya nyufa huwezi ziona kwa macho hadi utumie tochi ndo unagundua hilo.

5. Mayai kuwa machafu na kazalika

Chakula hakina uhusiano na fertility ya yai, Chakula kinaongeza utagaji ila swala la fertility linabakia mikononi mwa jogoo.
 
Nahitaji kununua kuku wa kienyeji wazuri na bei nzuri.msaada tafadhali
 
na me naomba munisaidie kuku wangu anateseka amebaki uyo mwenye vidole vimevimba wenzake watatu walikufa kwa kudonolewa.
 
Back
Top Bottom