Unakula pekee au unambeba ukale na ugali/ubwabwa
Sijaweka viazi...nimerialize vimeisha na giligilani pia wakati nishaandaa. Instade nimeweka rosemary...[emoji3526][emoji3526]Waiting......
Sijaweka viazi...nimerialize vimeisha na giligilani pia wakati nishaandaa. Instade nimeweka rosemary...[emoji3526][emoji3526]View attachment 1163560
Mimi huwa namla peke yake ila naweka na bbq sauce.
Kwenye menu yao unaweza kuagiza ije kama meal [yaani rice and peas, cabbage, na hiyo jerk chicken].
Ila mimi huwa naagiza chicken only.
Sijui kama unaendaga kwenye migahawa ya Wajamaica. Wao wanaposema rice & peas, wanamaanisha ni wali na maharage.
Sijui ni kwa nini wanayaita maharage 'peas' na siyo beans.
I guess labda kwenye huo ukanda wa Caribbean maharage ndo wanayaita hivyo.
Looks nice vipi umependa ladha?
Sana sana...asante sana kwa kushare hili pishi..
Me napenda chicken wings with honey and garlic sauce[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].
Napenda na vyakula vyenye sweet and sour taste .
Misamiati migumu sanaa inatuchanganya
1. Kuku marinated ndio amekua amefanywaje
2. Chicken Wings ndio vipapatio au??( yaani kwenye kuku mzima ww unapenda vipapatio??)
3.