Kuku wa kuoka pamoja na mboga mboga

Kuku wa kuoka pamoja na mboga mboga

Me napenda chicken wings with honey and garlic sauce[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].

Napenda na vyakula vyenye sweet and sour taste .
Niliwahi kupika sweet and sour ya chicken and pineapple mmmh mume akala basi tuu,nikipika nakula mwenyewe
 
*****Mahitaji*****

1)Kuku 1
2)kitunguu maji 1 kikubwa
3)Pilipili boga (hoho) 1
4)Kitunguu saumu na tangawizi 1tsp
5)mbatata 5 (viazi) ndogo
6)Spices upendazo
7)nyanya zilosagwa 4-5
8)giligilani
9)chicken broth mix(sio lazima)
10)ndimu 1
11)chumvi.
12)bilinganya 3 ndogo

*****Namna ya kuandaa*****

1)katakata vegetable zote weka pembeni.
2)Weka kuku chumvi na spices unazopendelea.
3)weka kuku kwenye tray juu yake weka vegetables na katia giligilani kwa juu.
4)Mimina nyanya ulosaga
5)unaweza kuongezea chumvi kwa juu na pilipili manga (mtama).
6)Funika foil na bake kwa lisaa limoja au hadi iwe imewiva.


Maasalam [emoji8].View attachment 1160628



View attachment 1160632View attachment 1160634
Aisee kama ukikosa mume nicheck PM!

You're a diamond gem in a rough motherfvckers been sleepin' on...

God-damnnnn!

A nigga ownin' you, is a luckiest bastard on earth!
 
*****Mahitaji*****

1)Kuku 1
2)kitunguu maji 1 kikubwa
3)Pilipili boga (hoho) 1
4)Kitunguu saumu na tangawizi 1tsp
5)mbatata 5 (viazi) ndogo
6)Spices upendazo
7)nyanya zilosagwa 4-5
8)giligilani
9)chicken broth mix(sio lazima)
10)ndimu 1
11)chumvi.
12)bilinganya 3 ndogo

*****Namna ya kuandaa*****

1)katakata vegetable zote weka pembeni.
2)Weka kuku chumvi na spices unazopendelea.
3)weka kuku kwenye tray juu yake weka vegetables na katia giligilani kwa juu.
4)Mimina nyanya ulosaga
5)unaweza kuongezea chumvi kwa juu na pilipili manga (mtama).
6)Funika foil na bake kwa lisaa limoja au hadi iwe imewiva.


Maasalam [emoji8].View attachment 1160628



View attachment 1160632View attachment 1160634
Mimi jiko langu huwa linataka na joto la kuokea kwa aina ya nyama ninyao oka . kwa kuoka kuku naweza tumia joto centigrade ngapi my dear
 
Ongeza na chicken jerk

I love me some jerk chicken 🐔

42935BED-4042-496B-918A-5349E7157063.jpeg
DE1A11EF-5937-47CD-958F-D608655E133A.jpeg
 
Back
Top Bottom