kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?