kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Soma huo uzi nimesema ufanye utafiti kwa wafugaji wenye tenda za kupeleka kuku wengi utalikuta hilo!Mahotelini???? kama hotel gani kwa mfano unayoifahamu wewe?? 🤒 😎
Vipi tuache maandiko yanavyo elekeza na kuamrisha watu wasile vibudu!Wew kula nyama bana,
Kwani dhambi ngapi tunatenda,
Tunazini, tunadanganya,
Hakuna atakaechomwa moto kisa kula vibudu, tutachomwa moto kisa uzinzi, uongo, uchawi, masengenyo na dhambi ka hizo
Kwani umelazimishwa kula kwenye hiyo migahawa. Tengenezeni migahawa ya imani yenu uwe unaenda kula huko wanapochinja wakipiga ngoma na kutamka maneno yasiyoeleweka. Msipangie watu, Kila mtu yupo huru.Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai baadae hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi maana kwa kuwa watu ni wabishi fanyeni utafiti kwa wale wafia dini je hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza!
Je, ni halali kuku kupikwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyotuelekeza?je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Watu wamekua wajinga na hizo dini zaoKitu ambach dini imeweza kufanikiwa pakubwa ni ku control akili za watu.
Na kitu ambacho mwafrika amefanikiwa pakubwa ni kuwa mhanga wa dini.
ACHA USHAMBA
WAJANJA TUTAKULA CHOCHOTE KILE ATA KICHINJWE NA MALAYA WA BAR
HakikaWatu wamekua wajinga na hizo dini zao
Kwa kujiona wajanja ndio maana leo hii watu wa jinsia moja wanaona ndugu wa damu wanatafunana kwa kuwa tu kufuata dini ni ushamba!Kitu ambach dini imeweza kufanikiwa pakubwa ni ku control akili za watu.
Na kitu ambacho mwafrika amefanikiwa pakubwa ni kuwa mhanga wa dini.
ACHA USHAMBA
WAJANJA TUTAKULA CHOCHOTE KILE ATA KICHINJWE NA MALAYA WA BAR
Usile nyama kabisa ndugu,Vipi tuache maandiko yanavyo elekeza na kuamrisha watu wasile vibudu!
Mada ni wapi imetaja muislamu?Usile nyama kabisa ndugu,
Msifanye maisha yawe full masheria ya ajabu ajabu,
Mtu ni mkristo, ni single mama, kaamua kufuga kuku, hapo kuku wamekufa wengine wakiwa vifaranga, leo kwenye kuchinja mnataka aajiri mtu wa kuchinja kisa tu dini yake ? Hapana aiseee, niny chagueni mle nyama mnyamaze, au msile kabisa,
Halafu mbona samaki mnakula na wale vibudu? Au samaki sio nyama ? Au na wenyewe hadi avue muislam?
Sausage za ulaya je vipi nazo? Tuache kucomplicate maisha aiseee
Wote tunajua ni kina nani wana sheria za kuchinja,Mada ni wapi imetaja muislamu?