RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
- Thread starter
-
- #21
Asante boss kwa kunitia moyo, maana nilikua najua inatakiwa waanze kutaga week ya 18 sasa hapa na stress maana nimefata miongozo yote.Kuku huanza kutaga kati ya week ya 20 -24. Kuwahi kutaga sio dalili nzuri, kwani ni lazima via vyake vya uzazi vikomar kumuwezesha kutaga. Ambapo umri sahihi ni wiki ya 20-24
Wakitaga mapema inaweza kusababisha yai kupasukia tumboni au kumfanya ashindee kutoa yai na kupelekea kufa.
Just maintain chakula na vitamins. Soon utapata matokeo.
Tunawakata kuku midomo ili wasidonoane. Na kudonoana au kula mayai ni dalili ya upungufu wa baadhi nutrient kwenye chakula chao. Kama unawapa chakula bora, hakuna haja ya kuwakata midomo. Kuwakata midomo kuwa kuna wastress sana.Digestive cruide protein kwenye chakula Cha Silverland hawashauri uongezee wanasema ipo tayari, hata kuwakata midomo week ya 15/16 walinikatalia.
Mkuu umekaa nao mkazungumza kujua kiini cha tatizo?Na kuku wangu wa mayai zaidi ya 1000 wanaenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.
Kuku wa mayai ni sensitive sana wakati wa mabadiliko ya hewa hasa joto.wakianza kuzoea joto huanza tena kutaga.Fanya subira wape chkula alfajiri kabla hawajanza kuhema kwa sababu ya jotoNa kuku wangu wa mayai zaidi ya 1000 wanaenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.
Yes mkuu nawao walisema hivyohivyo.Tunawakata kuku midomo ili wasidonoane. Na kudonoana au kula mayai ni dalili ya upungufu wa baadhi nutrient kwenye chakula chao. Kama unawapa chakula bora, hakuna haja ya kuwakata midomo. Kuwakata midomo kuwa kuna wastress sana.
Hili nimeanza kulifanya week iliyopita baada yakuona nikiwapa ratio wanayotakiwa kula hawaimalizi, ikalazimika niwape chakukula alfajir na jion jua likipoa. Mchana Huwa nawapa mchicha wadonoe donoe.Kuku wa mayai ni sensitive sana wakati wa mabadiliko ya hewa hasa joto.wakianza kuzoea joto huanza tena kutaga.Fanya subira wape chkula alfajiri kabla hawajanza kuhema kwa sababu ya joto
Kila baada ya week 2 kuna Vet Huwa anakuja kuwaangalia napia mtu wa Silverland Huwa nae anapita japo kwa mwez mara Moja.Vipi hali ya hewa, mazingira ya banda na uwezekano wa kuwa wamepata stress? Nakushauri ita Vet atembelee mradi akupe majibu kwa anayoyaona.
Sawa Mkuu, basi subiri hii wiki ipite ukianza wiki ya 21 utaona matokeo hadi zifike wiki 24 production itakuwa imeshachanganya. Jipe hizi wiki mbili za utulivu tu kiongozi utaona matokeo positive sana si unajua wiki kwa kuku ni siku nyingi sanaa.Kila baada ya week 2 kuna Vet Huwa anakuja kuwaangalia napia mtu wa Silverland Huwa nae anapita japo kwa mwez mara Moja.
Hali yahewa kwa sasa Kuna joto ingawa Banda liko vizuri linapitisha upepo wa kutosha.
Asantee mkuu. Ngoja niendelee kuwa na mvumilivu. Maana hawa washenz wanakula kama nini. Kwahio nataman waanze kutaga wanipe ahueni.Sawa Mkuu, basi subiri hii wiki ipite ukianza wiki ya 21 utaona matokeo hadi zifike wiki 24 production itakuwa imeshachanganya. Jipe hizi wiki mbili za utulivu tu kiongozi utaona matokeo positive sana si unajua wiki kwa kuku ni siku nyingi sanaa.
All the best Mkuu.
Ok mkuu ngoja niendelee kukomaa nione. Ingawa wananitoboa sana mifuko. Budget yao ilikua ya week 20, sasa ngoja niongezee week zingine 3 iwe mpaka week ya 23 tofauti na hapo wataniua.Mzee hapo usipanic niliwahi kuwafuga Kuna mbegi wanaenda mpaka miezi 6 ndo adondoshe Yai, kaza mkanda kamanda nakuelewa sana, hao kuku ni kama Wana laana, hawajui Cha mchana Wala usiku wao ni kupiga msosi tu
Kama umefuga kisa maneno yamotivational speaker mkuu nikupe pole kwakwelNa kuku wangu wa mayai zaidi ya 1000 wanaenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.
wanaenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai
Kabisa hapo ukiangalia namna viroba vinapungua lazima uchanganyikiwe kuna time kama kuna wasaidizi unaweza ukahisi wanakupiga mifuko ya msosi kumbe ni hao ndege tu wanaimaliza wenyewe. 😂Asantee mkuu. Ngoja niendelee kuwa na mvumilivu. Maana hawa washenz wanakula kama nini. Kwahio nataman waanze kutaga wanipe ahueni.
Asante kwa pole yako mkuu. Kabla sijafuga hawa layers nilikua nafuga chotara aina ya Sasso. Sio kwamba nikuku wangu wakwanza kufuga sema nimebadilisha tu aina ya kuku.Kama umefuga kisa maneno yamotivational speaker mkuu nikupe pole kwakwel
Asantee mkuu, kimalikia kwangu sio shida. Ngoja nipitie pitie niongeze maarifa.Nafikiri hili joto linachangia sana, hapa nazungumzia kama uko maeneo ya ukanda wa Pwani. Nimetumia akili ya kuzaliwa tu.Ikizidi wiki ya 24 nafikiri uanze kuchukua hatua.
Imetumika kimalkia kirahisi sana,kama una nia ya kuelewa utaelewa tu!
PS-35/PS029: Factors Affecting Egg Production in Backyard Chicken Flocks
University of Florida, Institute of Food and Agricultural Sciences Extension outreach is a partnership between state, federal, and county governments to provide scientific knowledge and expertise to the public. The University of Florida (UF), together with Florida A&M University (FAMU)...edis.ifas.ufl.edu
Onset of production (18 – 22 weeks) - H&N International
PERIOD AFTER TRANSFER During the first days after housing, it is important to stimulate sufficient feed intake. The hens should increase their feed intake as fast as possible and continue gaining weight (see figure 1). Some useful recommendations: Provide attractive feed with a good structure...hn-int.com
Mkuu uuze layers ambao washatumia zaidi ya mil 16, utawauzaje Ili upate faida kuku wa miezi minne na nusu?.