Kuna hii trend ambayo idara ya ardhi imeivalia njuga/imeishupalia ya kugeuza mashamba ya wakulima wadogo kuwa miji na hivyo kudai kupimwa viwanja.
Wanasahau (na wakulima wanakubali) kuwa haya mashamba ndiyo maisha ya watu, kama wao wanavyotegemea mishahara kuishi. This is the livelihood of these peasants, transforming their land to town plots means depriving them of their "OXYGEN" . Haya mashamba ndiyo uhai wao, maana wanakula na kuishi kwa kulima ardhi hiyo. Elimu , afya etc ya watoto wao na wao inategemea mashamba, sasa unapoyageuza viwanja ni kuwaua. masikini na wao wanashangilia kuwa baptised kuwa wako mjini.
mfano: Tanga maeneo kama Mapujoni . Mgwisha etc ni Tanga city and therefore vulnerable to be divided into so called PLOTS.
Bukoba, Katoma na Kibeta walitaka kufanya hivyo, thank God watu waligundua na kukataa kuwa zile ndizo ajira zao/ofisi zao kama wao walivyo maofisini
Tuache mambo ya kuiga urbanisation ya industrialized world. Wao kwa viwanda vyao wanaweza kuajiri na kuwapa watu fedha za kusihi hata kama huna ajira.