Kukua kwa miji na kumezwa vijiji vya wakulima (urbanisation at the expense of peasants livelihood) Tanzania

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kuna hii trend ambayo idara ya ardhi imeivalia njuga/imeishupalia ya kugeuza mashamba ya wakulima wadogo kuwa miji na hivyo kudai kupimwa viwanja.

Wanasahau (na wakulima wanakubali) kuwa haya mashamba ndiyo maisha ya watu, kama wao wanavyotegemea mishahara kuishi. This is the livelihood of these peasants, transforming their land to town plots means depriving them of their "OXYGEN" . Haya mashamba ndiyo uhai wao, maana wanakula na kuishi kwa kulima ardhi hiyo. Elimu , afya etc ya watoto wao na wao inategemea mashamba, sasa unapoyageuza viwanja ni kuwaua. masikini na wao wanashangilia kuwa baptised kuwa wako mjini.

mfano: Tanga maeneo kama Mapujoni . Mgwisha etc ni Tanga city and therefore vulnerable to be divided into so called PLOTS.
Bukoba, Katoma na Kibeta walitaka kufanya hivyo, thank God watu waligundua na kukataa kuwa zile ndizo ajira zao/ofisi zao kama wao walivyo maofisini
Tuache mambo ya kuiga urbanisation ya industrialized world. Wao kwa viwanda vyao wanaweza kuajiri na kuwapa watu fedha za kusihi hata kama huna ajira.
 
Ifike mahali wale ambao mashamba yao hutwaliwa wawe wanalipwa fidia ili ziwasaidie kujikimu. Au plot ziwe zinapimwa lakini wao ndio wawe na wauzaji wa plots zilizo kwenye mashamba yao.
Nakumbuka wakati wa kuanzishwa vijiji vya ujamaa familia nyingi sana ziliathirika kiuchumi baada ya ardhi zao kutwaliwa. Tusiendekeze tabia za kuwasukumia watu wetu kwenye umaskini.
 
Kama morogoro mashamba Hadi mjini, inakera walipwe fidia wasogee maporini huko
 
samia please take note of this Madam Rais. Watu wa TISS mfikihie rais samia huu ujumbe. Kwanini tuna create majanga kwa watu wetu? We are here to serve people remember!
 
Kama morogoro mashamba Hadi mjini, inakera walipwe fidia wasogee maporini huko
akitendewa hivyo anayekuhusu, baba, mama, kaka, dada utafurahi? au unasema kwa vile umebahatika na hivho ulichonacho (kama kipo anyway)
 
Wanasahau (na wakulima wanakubali) kuwa haya mashamba ndiyo maisha ya watu, kama wao wanavyotegemea mishahara kuishi. This is the livelihood of these peasants, transforming their land to town plots means depriving them of their "OXYGEN" . Haya mashamba ndiyo uhai wao, maana wanakula na kuishi kwa kulima ardhi hiyo. Elimu , afya etc ya watoto wao na wao inategemea mashamba, sasa unapoyageuza viwanja ni kuwaua. masikini na wao wanashangilia kuwa baptised kuwa wako mjini.
Umetazama mbali sana pande zote - survival yao nyuma walikotoka, survival yao mbele waendako ...hongera mkuu
 
akitendewa hivyo anayekuhusu, baba, mama, kaka, dada utafurahi? au unasema kwa vile umebahatika na hivho ulichonacho (kama kipo anyway)
Pale Ufipa st lilikuwa shamba la Mzee Mwinyihija lakin leo ni Makao makuu ya Chadema

Hayo ndio maendeleo bwashee

Usiogope
 
Retired i salute bro / sister. Umeongea kitu kikubwa sana. Bahati mbaya sana our people are too much incompetent both leaders na sisi wenyewe tunaongozwa.

Kwa mtu anayefuatilia trend ya namna watu wanavyozidi kusukumizwa kwenye lindi la umaskini anaweza hata kulia akisoma huu uzi.

Huko tuendako chakula kitakuwa bidhaa ya matajiri pekee sababu hakuna tena mashamba yenye rutuba kwa ajili ya maskini

Huko tulikotoka chakula hakikuwa ishu kabisa lkn now days chakula ni bajeti kali kwa kwenda mbele.

Mungu tunaomba uingilie kati
 
Pale Ufipa st lilikuwa shamba la Mzee Mwinyihija lakin leo ni Makao makuu ya Chadema

Hayo ndio maendeleo bwashee

Usiogope
Wewe ni reflection halisi ya sisi watz wetu. We never have a common interest. Kila kitu ni siasa na ushabiki kwa manufaa ya wanasiasa na washabikiwa. Poor you!
 
Umetazama mbali sana pande zote - survival yao nyuma walikotoka, survival yao mbele waendako ...hongera mkuu
Amefikiria vizuri sana. Cha ajabu sana sasa....mfumo wetu hauruhusu fikra nzuri kama hizi
 
Hatuwezi kuwa na mashamba mjini wewe mbwiga!
Huyo mhuni aliyekuambia mashamba mjini hayaruhusiwi ni nani?

Kwa mtazamo wako wewe wa kuendekeza mambo ya mijini unaona maisha yanazidi kuwa na unafuu kwa sababu ya mambo ya mijini ama yanazidi kuwa tight?
 
Sasa hayati Mwinyihija asingemkatia kiwanja mzee Bob Makani nyie Chadema ofisi zenu zingekuwa wapi?

Mashamba yako Kiwangwa nendeni huko!
 
wewe ni mtu wa ajabu....... miji bila industrialization ni wendawazimu!
 
Ukuaji w kasi wa Idadi ya watu
 
Back
Top Bottom