Kukubali uteuzi wa mtu usiyempenda na kumuamini kisha baadae unajiuzuru ghafla si ni unafiki?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.

Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
 
Kosa kamkataa Mama yako. Mwehu kweli wewe.
 
Unataka kuamulia mtu ni wakati gani wa kukataa uteuzi? 😂😂😂😂😂
 
Je popoma ni nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…