mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Ni kweli,hawajui lipi jema na lipi bayaUgumu wa kupata mabadiliko nchi Tanzania unaanzia hapa kwenye uwepo wa vilaza wengi nchini kama huyu mwanzisha mada
Ni kweli,hawajui lipi jema na lipi bayaUgumu wa kupata mabadiliko nchi Tanzania unaanzia hapa kwenye uwepo wa vilaza wengi nchini kama huyu mwanzisha mada
Daah mkuu mimi situkani faza hata ufanyeje nimeuliza tu shida nini watu wanatukanana asubuhi hii na pia usidhani ambao hawatukani hawajui kutukana mazee..Wananitafutaga / Wanayatafutaga wenyewe hivyo kuwa Mvumilivu ili niwanyooshe tafadhali. Nitafutie Thread yoyote ile niliyoianzisha hapa JamiiForums kisha niambie ni wapi umeona NIMEMCHOKOZA MEMBER, NIMEMSHAMBULIA MEMBER, NIMEMTUKANA MEMBER na NIMEMDHALILISHA MEMBER hapa JamiiForums.
UNAFIKI wako Kwangu UNAYENICHUKIA hapa JamiiForums hujauanza leo. Kutwa GENTAMYCINE nachokozwa, nashambuliwa, natukanwa na nadhalilishwa na ID's zile zile na ambazo zote NIMESHAZIRIPOTI na NAZIRIPOTI kutwa kwa Moderators wa JamiiForums sijawahi kukuona ukijitokeza KUWAKEMEA, ila pale GENTAMYCINE nikiamua tu KUWAJIBU kwa MAPIGO yangu MAKALI utaona MNAFIKI Wewe unajitokeza.
Ni kama mchezo wa mieleka WWESiasa ni sanaa, kabla ya kitu kuja 'public' kunakuwa na mazungumzo yaliyofanyika huko nyuma ya pazia.
DUH!!Philip Mpango hataki kuwa vice president
Kassim Majaliwa hataki kuwa PM
Polepole amegoma ubalozi
Who is next?
Ni sawa lakini ni vema kufa ukipambanaKufa kwa ajili ya Kusimamia Ukweli ni Dhambi?