Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Kabisa mkuu, binafsi naamini hizo ni propaganda tu.Siasa ni sanaa, kabla ya kitu kuja 'public' kunakuwa na mazungumzo yaliyofanyika huko nyuma ya pazia.
Na kama ni kweli slowslow katoa tamko bila michakato ya chinichini basi kufikia sasa tayari ashatafutwa na kujua mustakabali mzima jinsi sakata litakavyoendeshwa ili kuwapumbaza zaidi.