Kukubali uteuzi wa mtu usiyempenda na kumuamini kisha baadae unajiuzuru ghafla si ni unafiki?

Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.

Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
Wewe ndio Mnafiki , Kwa sababu hujazingatia wakati anachaguliwa ,hali ilikuaje, na Sasa hali ikoje.
 
Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.

Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
Kwa wahuni wa mapangoni huna chaguo ila shinikizo,hata mchokonoa wahuni mapangoni hata hili yaweza kuwa shinikizo,hata kitupwa kwa yule mzee wa zimbabwe ama jirani na mzee trump.
 
Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.

Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
Samia alichokosea ni kutojiamini, ni wazi hakumteua kwa kumpenda Humphrey
 
Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.

Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
Acha kujizima data au ndio umetumwa uizime habari
 
Popoma sio tusi Mkuu ni lugha ya JF ya watu wote wazalendo
Na akitaka kujua asili ya nano Popoma atazame hapa 😂😂😂

Hata Yesu aliteuliwa na Yuda kwenye meza moja ,si kila uteuzi ni wa shetani, mwingine ni wa kihistoria.
 
We kenge we kakuambia Majaliwa angeteuliwa kuwa PM, acha usenge watu wanatafuta ht uDC sembuse uPM? We kweli hamnazo? Usimhusishe Dr. Mpango yule mzee ni innocent hana hayo mawazo ya kipumbavu. Samia ndio Rais wetu mpk 2030 takataka km Polepole ni nani
Una hasira sana, pole
 
Back
Top Bottom