Kukubali uteuzi wa mtu usiyempenda na kumuamini kisha baadae unajiuzuru ghafla si ni unafiki?

Wewe ndio Mnafiki , Kwa sababu hujazingatia wakati anachaguliwa ,hali ilikuaje, na Sasa hali ikoje.
 
Kwa wahuni wa mapangoni huna chaguo ila shinikizo,hata mchokonoa wahuni mapangoni hata hili yaweza kuwa shinikizo,hata kitupwa kwa yule mzee wa zimbabwe ama jirani na mzee trump.
 
Samia alichokosea ni kutojiamini, ni wazi hakumteua kwa kumpenda Humphrey
 
Acha kujizima data au ndio umetumwa uizime habari
 
Popoma sio tusi Mkuu ni lugha ya JF ya watu wote wazalendo
Na akitaka kujua asili ya nano Popoma atazame hapa 😂😂😂

 
Hata Yesu aliteuliwa na Yuda kwenye meza moja ,si kila uteuzi ni wa shetani, mwingine ni wa kihistoria.
 
Una hasira sana, pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…