Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Kabisa mkuu, binafsi naamini hizo ni propaganda tu.Siasa ni sanaa, kabla ya kitu kuja 'public' kunakuwa na mazungumzo yaliyofanyika huko nyuma ya pazia.
Unafiki ni sehemu ya maisha ya watu weusi. Ukiwa ccm ndiyo inazidi mara 100Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.
Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
Hapo aliogoma ni pole pole tuPhilip Mpango hataki kuwa vice president
Kassim Majaliwa hataki kuwa PM
Polepole amegoma ubalozi
Who is next?
Hawa wamejiengua kwa masirahi yao, usidhani eti wanatupenda sana wananchi au wanaunga mkono mabadiliko.Philip Mpango hataki kuwa vice president
Kassim Majaliwa hataki kuwa PM
Polepole amegoma ubalozi
Who is next?
Hiyo dampo hua inajua kila kituUgumu wa kupata mabadiliko nchi Tanzania unaanzia hapa kwenye uwepo wa vilaza wengi nchini kama huyu mwanzisha mada
Wanaoteuliwa hawaendi kufanya kazi ya Rais wanenda kufanya kazi kwa niaba ya Rais ili kuwatumikia wananchi. Kwa hiyo itakapotokea anaona hawezi kuwatumikia wananchi kwa misingi ya kisheria na kariba za kiuongozi yupo sahihi kuachia madaraka kwa kujiuzuru, hakuna unafiki wowote pale. Tatizo waTZ wengi tuna-term teuzi kama fadhila hicho kitu sio sawa hata kidogo na ndicho kinaua uadilifu na uwahibukajišMwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.
Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
Nyarupala nakataa kuwa mhehePhilip Mpango hataki kuwa vice president
Kassim Majaliwa hataki kuwa PM
Polepole amegoma ubalozi
Who is next?
Kwahiyo ulitaka aendelee tu hata baaada ya kukengeuka?Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.
Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
Naona kichaa chako kimepanda, siku zote usiyempenda tafuta njia yoyote uwe karibu naye ili ujaribu kumpa mawazo ya kumrekebisha, ndicho kilichofanyika ila chura kiziwi mmm!Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.
Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
Kufa kwa ajili ya Kusimamia Ukweli ni Dhambi?Kwa mazingira aliyokuwa nayo polepole kipindi kile angekataa wangemuua. Alipitia misukosuko mingi sana.
2 Wakorintho 5:17Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.
Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
Kaka,Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.
Wote wamekutana ni WANAFIKI watupu!!!!
Wananitafutaga / Wanayatafutaga wenyewe hivyo kuwa Mvumilivu ili niwanyooshe tafadhali. Nitafutie Thread yoyote ile niliyoianzisha hapa JamiiForums kisha niambie ni wapi umeona NIMEMCHOKOZA MEMBER, NIMEMSHAMBULIA MEMBER, NIMEMTUKANA MEMBER na NIMEMDHALILISHA MEMBER hapa JamiiForums.Daaah aisee kwa nini mnatukanana kirahisi rahisi tu wazee shida nini tena asubuhi na mapema..
So what?Kaka,
Wewe ulijua huyu mama atakuja kubadilika kuwa katili hivi? Ulijua atakuja kuwa mfanyabiashara wa Kila kitu? Siyo yeye aliyejaza watu matumaini fake Hadi wapinzani Wakubwa wakaingia mkenge? Wenye akili wote wamepotezwa wamebaki Chawa Pro.