Kukubali uteuzi wa mtu usiyempenda na kumuamini kisha baadae unajiuzuru ghafla si ni unafiki?

Daah mkuu mimi situkani faza hata ufanyeje nimeuliza tu shida nini watu wanatukanana asubuhi hii na pia usidhani ambao hawatukani hawajui kutukana mazee..
 
Si kila uteuzi ni heshima—wengine ni mtego wa kunyamazisha dhamira yako.
Kukubali uteuzi kutoka kwa wanaokanyaga misingi ya taifa ni sawa na kuchomekea taa mpya kwenye nyumba inayoungua kwa moto. Mwisho wake, utaonekana unang’aa, kumbe unateketea polepole.

Ujasiri si kukubali nafasi—ni kukataa pale ambapo dhamira yako inatishwa na nafasi yenye
we.
 


Sijui kipi ni hatari zaidi, upumbavu wako ama kutokujua kuwa umpumbavu.
 
Kuteuliwa ni kutumikia Taifa sio kumtumikia aliyekuteua
Utapaswa kukataa uteuzi iwapo malengo ya aliyekuteua ni kutaka ukamtumikie yeye!
Kwa dhana uliyonayo maana yake watumishi waumma waache kazi iwapo ataingia madarakani Rais wasiyemtaka
 
Tena unapewa nafasi kubwa ya kidiplamasia alafu unakuja kudhalilisha mfumo mzima wa vetting. Ni uhaini na unatakiwa uadhibiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…