Uchaguzi 2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

kama anagombea tena, atakuwa ni pandikizi la CCM.
Maana ataneutralize mioyo ya watu wengi wenye kupenda upinzani hivyo kutanua goli la Ushindi wa CCM
Kugombea ni haki ya kila mwanachama, kwanini awe pandikizi la CCM kwa kutumia haki yake kugombea?! Muhimu ni uchaguzi kufanyika kwa haki na mshindi apatikane kwa kura si kwa mizengwe.
 
Ila Wewe unakera. Ukabila wako unakupofusha. Hivi unaweza kusifia ushindi wa kishindo wakati hakuna aliyekuwa anashindana naye? Unakera aisee. Tukisema njaa mnakasirika. Unadhani unaweza kuchukua nafasi ya Msigwa pale? Acha hayo. Unaandika utadhani hujasoma. Hayo wasifie mambumbumbu wataeleweka. Umekera. Ingekuwa kwenye group la whatsApp tungesema utolewe tu. Una bahati.
 
Uchaguzi wa tume haungiliki kirahisi! HUU wa mitaa unasimamiwa na SERIKALI ndio maana hivyo CCM haitoshinda kwa 98%

Hakuna taasisi yoyote inayofanya kazi hivi sasa bila kutii amri na utashi wa rais. Tena hiyo tume ya uchaguzi ndio uji kabisa.
 
Wajinga,waporaji,mafisadi,washamba wameshinda kwa 99.9% uchafuzi wa serikali za mitaa
 
Hujamwelewa Paskali Soma vizuri Ukiwa umetulia utamuelewa vizuri sana
 
Kugombea ni haki ya kila mwanachama, kwanini awe pandikizi la CCM kwa kutumia haki yake kugombea?! Muhimu ni uchaguzi kufanyika kwa haki na mshindi apatikane kwa kura si kwa mizengwe.
haki isiyozingatia matunda ya kupata haki hiyo
 
Ni watu wachache wenye kuelewa falsafa ya MAYALA katika uandishi wake. Mara nyingi watu wanasoma kama wasomao hadithi bila kuchenjua kilichomo ndani ya mistari. Kwa kufanya hivyo mnazifikiria makala zake pamoja naye binafsi ndivyo sivyo!

Sawa Mkuu.
 
Sidhani kama huyu aliyeandika haya ni Pascal Mayalla, account yake imekuwa hacked,hata kama anajipendeza kwa Magu, asingeweza kuandika Upupu huu.majizi hayana utu na haya hata swahibah wao mrema wamemtenda.kuwa mwanaume sio kuwa na korodani tu bali pia kuwa na misimamo ya dhati.
 
Uzuri wa mada zako kaka Paskali uwa zina mantiki na hoja fikirishi sana.
Kwa ufupi % yoyote ya ushindi wa 2020 unaweza kutafsiri hatima ya Demokrasia 2025.
Mbali na hivyo,lakini pia ni kipimo cha wananchi juu ya nini wataka kianze Je ni Demokrasia au Maendeleo.
Katika hoja za Maendeleo tayari serikali ya awamu ya Tano imekwisha pokonya hoja za wapinzania wake.
Kuhusu Demokrasia,hili ni jambo la muda tu kwani hata wale ambao wanaimba wimbo huo tayari wamekwisha sahau beti zake na kusababisha wengi wao kujiondoa kwenye vyama vinavyojinasibu kwa Demokrasia.
 
Hahahaha mkuu naona unapita njia ile ile ya Jerry Muro hadi akaukwaa ukuu wa Wilaya
 
Acha kujitoa akili mtu mzima hovyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…