Kukumbatiwa wakati wa kulala ni miongoni mwa raha wanazokosa wanaume

Kukumbatiwa wakati wa kulala ni miongoni mwa raha wanazokosa wanaume

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala.

Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so msiogope kukumbatiwa wakati wa kulala na haiondoi uwanaume.

1753906743366.jpeg
 
Nikiwa nachomwa chomwa na misumari yake kwenye mgongo siwezi kulala kabisa
 
Kumekucha tutafute shekeli! Asubuhi yote hii mnaleta thread za mapenzi alafu baadaye muanze kumlaumu bibi wa kizimkazi!!
 
Ndiye huyu alokuwa akivishwa kibwebwe na kuyasakata mauno na dada zake ee?
 
Kwa hiyo wewe huwa unakumbatiwa mkuu? Huenda ushakimbia ktk kundi la wanaume wewe.
 
Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala.

Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so msiogope kukumbatiwa wakati wa kulala na haiondoi uwanaume.

View attachment 3425223
mimi siwezi kukubali mwanamke anikumbatie/anilalie ivi. ila huwa namkumbatia hivyo mke wangu. kifua changu ni kipana sana na nikilala huwa napenda aweke kichwa au kuanzia kifuani akifanye kifua changu kama mto, alafu mimi nizungushe mkono kumshikilia, nikipenda nashusha mkoni papasa hadi popote ninapopataka na kumpetipeti kwa uhuru wote. raha sana.
 
Back
Top Bottom