Yeye anafurahi kuhemewa kisogoni.Maanaume rijal huwez kumbatiwa kwa nyuma af ukatulia
Huu ujinga huwa mnautoa wapi?inaongeza upendo na uaminifu,
Ameshazoea kitamboYeye anafurahi kuhemewa kisogoni.
Atawekwa dildoYeye anafurahi kuhemewa kisogoni.
Astaghaffillah πππππMaanaume rijal huwez kumbatiwa kwa nyuma af ukatulia
Unapataje raha kweli kukumbatiwa kwa nyuma?Nikiwa nachomwa chomwa na misumari yake kwenye mgongo siwezi kulala kabisa
mimi siwezi kukubali mwanamke anikumbatie/anilalie ivi. ila huwa namkumbatia hivyo mke wangu. kifua changu ni kipana sana na nikilala huwa napenda aweke kichwa au kuanzia kifuani akifanye kifua changu kama mto, alafu mimi nizungushe mkono kumshikilia, nikipenda nashusha mkoni papasa hadi popote ninapopataka na kumpetipeti kwa uhuru wote. raha sana.Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala.
Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so msiogope kukumbatiwa wakati wa kulala na haiondoi uwanaume.
View attachment 3425223
Wako wapi wenye hyo misumari nije nifanye utalii huko mkuu.Nikiwa nachomwa chomwa na misumari yake kwenye mgongo siwezi kulala kabisa