Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

Ndio muwape hela wake zenu.

Kama mkiwapa 10,000 ikizidi 20,000 ya masimango mtatukanwa tu hamna namna!!!!
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hao ndo wanawake.
Ananunuliwa gari na mumewe ila anakuja kuliwa na fundi uchwara aliembadilishia tairi tu, na hapo atamponda mumewe kua hamjari.
Yaani hii gender ptuuiuuu [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ni katika kukusifia tu nikajikuta nampondea mahabuba wangu. Ila sikumaanisha🀣🀣🀣


😊😊😊

Hujanikamata bado.

Round hii nitakupa Laki tano ili umuite nguruwe πŸ˜€πŸ˜€

Ila ninyi Wabaya Sana.
 
Hii imekaa dizaini kama Kadi ya mwaliko hivi..

Anyways: Mkuu kama huna hela za mawazo zitoe tu,, achana na hayo mengine hayakuhusu,, ungeona huruma mumewe kutukanwa usingemchukua demu wake...

Bro Code inasema kamwe usile demu wa mshikaji....labda usitambue uwepo wake.. Acha unafiki,, kutukanwa mwamba ndio furaha yako,, angeheshimiwa wewe usingepata uchi.
 
Watoa laki wana dimensions zao kwanza wanaparameters simple sana, kauli mbiu kila mmoja ashinde mechi zake
 
😊😊😊

Hujanikamata bado.

Round hii nitakupa Laki tano ili umuite nguruwe πŸ˜€πŸ˜€

Ila ninyi Wabaya Sana.
Uwiii ukinipa hiyo laki tano si ndo namuacha kabisa🀣🀣🀣
 
Wauni bana hhahhha
 
Kweli watu wapo mjini kutafuta pesa na wanazipata.
Kuna mwingine huko kalipishwa pesa ya maana kuwekewa facebook.
 
Ungerudia kupiga raundi nyingine halafu umwambie ..."nitukanie Fulani,fulani na fulani"...!Ungeshangaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…