Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

Uwiii ukinipa hiyo laki tano si ndo namuacha kabisa🤣🤣🤣


Sasa mpango wangu utakamilika.

Maana wewe ni pisi kali, na sitajuta kukumwagia mapesa
 
Bila shaka mleta mada atakuwa ndio kafika mjini! Tumwambie ukweli au tumwache ?
 
Watu uhesabu wanachokiona muda huo anasahau kuwa gharama anayoingia mumewe ni kubwa sana kuliko hiyo one time laki.
Umesema ni mrembo ikiwa ina maana anapata matunzo kama nguo, mafuta, kusuka, na mengine la sivyo angeonelana mchafu mchafu kachakaa. Hiyo ni gharama lakini yeye hahesabu.
Ndio maana unaweza mnunulia mwanamke gari milion 18, akaja kuona aliyemwekea mafuta ya 40,000 ndo wa maana. 🤣🤣🤣
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…