Kukutana na mama mkwe mtarajiwa ni dalili ya hatua nyingine kwenye mahusiano yenu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Madada ndiyo walengwa wa uzi huu lakini makaka msiache kusoma na pia kutoa mawazo yenu. Mama wakwe ni wanawake na wao pia walikua vijana wakati fulani hivyo kukutana na mama kusikufanye uwe roho juu juu.

Mpaka mwenza anaamua kukufahamisha kwa mama yake, inamaana kuna vitu ameviona kwako na hataki kukupoeza. Wadada mfahamu hawa vijana tuliwabeba tumboni, kuwanyonyesha na kuwapikia. Hawa vijana wana nafasi ya pekee katika mioyo yetu na wanapopata wachumba viherehere na mashangumbe ya mjini tunaumia sana.

Mdada kwa mama mkwe kuwa katika uhalisia wako. Inawezekana umealikwa kwa chakula, kula kwa ustaarabu na baada ya kula unaweza kuomba uonyeshwe jiko liko wapi uondoe sahani mezani. Siku ya kwanza kuwa msikilizaji na umsome mama mzaa chema. Usiwe msemaji mpaka maduka yote ya vipodozi unavijua wewe.

Mnapo fake tunawajua kwakua hata sisi tulishapata muda wa kukaa na mama wakwe zetu kwa mara ya kwanza.
 
Feminist wako wanatukana kimoyo moyo hapa [emoji3][emoji3][emoji3] Madam rudia tena hii sentensi "watoto wetu wakileta mashankupe ya mjini tunaumia"
Behave bhana
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madada ndiyo walengwa wa uzi huu lakini makaka msiache kusoma na pia kutoa mawazo yenu. Mama wakwe ni wanawake na wao pia walikua vijana wakati fulani hivyo kukutana na mama kusikufanye uwe roho juu juu.

Mpaka mwenza anaamua kukufahamisha kwa mama yake, inamaana kuna vitu ameviona kwako na hataki kukupoeza. Wadada mfahamu hawa vijana tuliwabeba tumboni, kuwanyonyesha na kuwapikia. Hawa vijana wana nafasi ya pekee katika mioyo yetu na wanapopata wachumba viherehere na mashangumbe ya mjini tunaumia sana.

Mdada kwa mama mkwe kuwa katika uhalisia wako. Inawezekana umealikwa kwa chakula, kula kwa ustaarabu na baada ya kula unaweza kuomba uonyeshwe jiko liko wapi uondoe sahani mezani. Siku ya kwanza kuwa msikilizaji na umsome mama mzaa chema. Usiwe msemaji mpaka maduka yote ya vipodozi unavijua wewe.

Mnapo fake tunawajua kwakua hata sisi tulishapata muda wa kukaa na mama wakwe zetu kwa mara ya kwanza.
Ila mama wakwe ni lazima mkubari mtoto akishakuwa anatakiwa awe na maisha yake.

Tatizo kubwa lililopo mmeishi maisha yenu na bado mnataka kuishi na maisha ya watoto, hili siyo sawa.

Ndio sababu ugomvi uliopo ni kati ya wake na mama wakwe zao ingawa si wote.

Huwezi kusikia kuna ugomvi na Baba mkwe ni lazima mjiulize hili vizuri, ndio sababu wakwe zenu wanawaombea kifo ili waishi kwa amani bila gubu la mama mkwe.
 
Ila mama wakwe ni lazima mkubari mtoto akishakuwa anatakiwa awe na maisha yake.

Tatizo kubwa lililopo mmeishi maisha yenu na bado mnataka kuishi na maisha ya watoto, hili siyo sawa.

Ndio sababu ugomvi uliopo na kati ya wake na mama wakwe zao ingawa si wote.

Hili ni tatizo kubwa......
 
Mtoto wako akishika wembe na wewe unafahamu kabisa huu ni wembe, akijikata uchungu mama anaopata ni sawa na ule wa labour.
 
Hii labour mnaitumia kama scapegoat tu lakini siku hizi mnakula mikasi tu huko labour na bado mnatumia hicho kichaka kujificha.

Kwa ubinafsi wa wanawake unaweza kumuonea wivu mtoto uliyemzaa halafu unamtesa baba wa mtoto huyo ambaye ni mume wako na amezaliwa na mwanamke na ana mama hapo huwa sielewi mnatumia logic gani.
 
Hii labour mnaitumia kama scapegoat tu lakini siku mnakula mikasi tu huko labour na bado mnatumia hicho kichaka kujificha.

Kwa ubinafsi wa wanawake unaweza kumuonea wivu mtoto uliyemzaa halafu unamtesa baba wa mtoto huyo ambaye ni mume wako na amezaliwa na mwanamke na ana mama hapo huwa sielewi mnatumia logic gani.
Mara nyingi matatizo yanaanzia kwenye uchumi. Kama umemlea mtoto kwa kwa maisha ya kununua kopo la mkaa, jioni mnanunua fungu la samaki na mnamalizia ugali wa mchana.

Sasa unakwenda kwa mtoto unamkuta mkwe anapikia gas cooker na anamtuma house girl akutengee chai.

Mama wa ki sure ni waelewa sana mara nyingi.
 
Haya mambo ni magumu sana, unakuta mama mkwe mwingine anamponda mwanaye wa kumzaa kwa mkewe, kwamba huyu hana akili na a lot of blabla, sasa utajiuliza motive behind ni nini?
 
Back
Top Bottom