Wadau,
Kuna jamaa yangu anaomba ushaur.
Ni hiv..miaka miwil iliyopita alikutana na mdada single mama,(divorced) wakaanzisha mahusiano huyu single mama baada ya mwaka akapata ujauzito wa mwana.
Huyu single mama ana vitabia flan ambavyo mwana havikubal.. Anasema demu ni controling sana.hasira etc na mambo mengne ingawa wanaish kwenye mjengo wa huyo single mama.
Ishu ni kwamba mwana kakutana na mdada mwingne wamependana sana ndan ya mda mfupi .yaan sana.na mwana anahis kwamba hapo ndo amefika..na huyu mdada mpya anajua situation ya mwana kuwa ana mtu na anaishi nae na wanamtoto..
Ila dada ameridhia..dada ni mpole,mstaarabi.msomi..yaan anasifa zote .na ni mzuri pia .hana mtoto. Afya yake safi, ila pia ni divorced.
Ila mwana anafuraha sana anapokua na huyu sabab anasema wana character znaendana na wanapendana sana.
Mwana anauliza je afanyaje na anampenda huyu dada mpya kinoma noma.
Nawasilisha wadau