Kukwambia nakupenda sio umepata kazi tumeelewana...

Kukwambia nakupenda sio umepata kazi tumeelewana...

Kichenza

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2018
Posts
222
Reaction score
243
GIRL> baby wiki ya pili Sasa sijaenda saluni
MWANAUME WA KWELI > nenda ukirudi utanikuta

GIRL> mmh alafu baby kuna mkoba nimeupenda
MWANAUME WA KWELI> endelea kuupenda

GIRL> jomooon basi kesho Bata Wapi MWANAUME WA KWELI> kwenye banda Lao

GIRL> enheee nikwambie Jana nilipita pale kariakoo nikaiona iPhone 7 jamani niliipenda
MWANAUME WA KWELI > kesho ntakupa nauli ukaione tena

GIRL> nna hamu yakunywa Soda
MWANAUME WA KWELI> msichana kunywa soda huo ni uzamani msichana wa Sasa anakunywa sumu

GIRL> Begi langu la nguo nililiweka wapi sijui
 
Yaani sio kwamba wanaume wanalalamika Sana lakini wadada wamezidi vizinga mno!!

Ukionesha interest ya kutaka kuonana naye tu anaanza na kizinga.
Jamani, khaaa!!
 
Yaani sio kwamba wanaume wanalalamika Sana lakini wadada wamezidi vizinga mno!!

Ukionesha interest ya kutaka kuonana naye tu anaanza na kizinga.
Jamani, khaaa!!
mimi hapa nina madeni ya mizinga hadi jana nilizima simu siku nzima kwa kuogopa vizinga.
 
Yaani sio kwamba wanaume wanalalamika Sana lakini wadada wamezidi vizinga mno!!

Ukionesha interest ya kutaka kuonana naye tu anaanza na kizinga.
Jamani, khaaa!!
Unaonyesha interest kwa wanawake wangapi? Kwani ukibaki na huyo mmoja mliyechaguana hizo kero nyingine utazipata wapi?
Ukionyesha interest ya kumla mdada na wakati huna nia ya kuwa na mahusiano ya kudumu au yanayoeleweka basi usilalamike unapopigwa mizinga.
Mke au mpenzi wako halali hawezi kukupiga mizinga kiboya boya. Ukipenda kugongagonga hovyo hovyo basi jiandae kupingwa mizinga kihovyo hovyo pia.
 
Back
Top Bottom