Kukwambia nakupenda sio umepata kazi tumeelewana...

Kukwambia nakupenda sio umepata kazi tumeelewana...

Unaonyesha interest kwa wanawake wangapi? Kwani ukibaki na huyo mmoja mliyechaguana hizo kero nyingine utazipata wapi?
Ukionyesha interest ya kumla mdada na wakati huna nia ya kuwa na mahusiano ya kudumu au yanayoeleweka basi usilalamike unapopigwa mizinga.
Mke au mpenzi wako halali hawezi kukupiga mizinga kiboya boya. Ukipenda kugongagonga hovyo hovyo basi jiandae kupingwa mizinga kihovyo hovyo pia.
Mtu anaye mpenzi mzuri au mke mzuri lakini hariziki anafuta huko nje wengine kibao lazima ahudumie sizani kama mke bora anaweza fanya hayo au mpenzi bora anaweza fanya hayo, sasa mtu wapenzi 4 kila huyo atake lazima aje kulalamika humu
 
Demi tatizo unamuonyesha mtu kuwa uko tayari kuoa na kutoa mahari lakin bado kwa maksudi anakufanya mradi.
Yaan ww kumwambia kuwa unampango wa kuoa ndio kama umefungua kitabu cha bank cheque ni vibomu mpaka kero.
Pole. Basi hapo ni kuachana nae kama amezidi
 
Mtu anaye mpenzi mzuri au mke mzuri lakini hariziki anafuta huko nje wengine kibao lazima ahudumie sizani kama mke bora anaweza fanya hayo au mpenzi bora anaweza fanya hayo, sasa mtu wapenzi 4 kila huyo atake lazima aje kulalamika humu
Wapambane na hali zao kwa kweli
 
Wapambane na hali zao kwa kweli
Nawapambane nao huwa akikatiza mrembo hapo utasikia wakubwa wanafaidi unajiuliza yeye anashindwa nini kuwatafuta kama hao? Au ndiyo kuhudumia hakuna mwanamke mbaya bali ni matunzo tu
 
Nawapambane nao huwa akikatiza mrembo hapo utasikia wakubwa wanafaidi unajiuliza yeye anashindwa nini kuwatafuta kama hao? Au ndiyo kuhudumia hakuna mwanamke mbaya bali ni matunzo tu
Wanapenda ambao tayari wanao wa kuwahudumia, yaani akute mtoto mzuri, ananukia kapiga pamba kali ndo wanawataka. Hapo hajiulizi nani anagharamia. Ukiwa mchafu pia unapondwa
 
Wanawake
20181017_083009.jpg
 
Mimi jana mida ya sa 5 asubuhi naambiwa bby niongezee hela nika nunue simu.... nikamwambia saivi nimelala nta kutumia badae.... sijajibu txt ad saivi na yeye alivo mshenzi ana uliza et bado umelala[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha waendelee kuitwa shemeji, huku wenyewe wakiogopa kuhudumia, ndiyo wale akioa mkewe anahudumiwa kwa masharti kazi yake kusifia wake wa wenzie na kuwaponda flani katawaliwa na mkewe kumbe wivu tu [emoji23][emoji23]
Wanapenda ambao tayari wanao wa kuwahudumia, yaani akute mtoto mzuri, ananukia kapiga pamba kali ndo wanawataka. Hapo hajiulizi nani anagharamia. Ukiwa mchafu pia unapondwa
 
Back
Top Bottom