Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
wordSio nikupondeponde, tunapondana kwani hiyo kazi naifanya pekeangu si tunafanya wote? Basi msingekuwa mnatulalamikia vibamia na kutoridhishwa kama ndo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wordSio nikupondeponde, tunapondana kwani hiyo kazi naifanya pekeangu si tunafanya wote? Basi msingekuwa mnatulalamikia vibamia na kutoridhishwa kama ndo hivyo
Wanaume wa dar
Jiran yangu mimi hujamboHmm[emoji40]
Jiran yangu mimi hujambo
Niko poa.. Upo kweli?Mimi Sijambo, hofu kwako jirani
Matunzooo!Kwani mimi babako!!Aisee si Kwa majibu hayo na Kwa staili hyo wadada wazuri wote utaishia kuita shemeji tu[emoji3] [emoji3]. Mwanamke matunzoo
Nipo wewe ndio, umenisusaNiko poa.. Upo kweli?
Kaa ndaniBaby ninunulie gari siwezi kutembea kwa miguu......
Kwani wewe hupati rahaHe unipondeponde bure bure?
Nipo wewe ndio, umenisusa
sawa, kwa niaba ya wanaume Wa dar nakutakia asubuhi njemaSio kweli
Hahahahaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa, kwa niaba ya wanaume Wa dar nakutakia asubuhi njema
Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]GIRL> baby wiki ya pili Sasa sijaenda saluni
MWANAUME WA KWELI > nenda ukirudi utanikuta
GIRL> mmh alafu baby kuna mkoba nimeupenda
MWANAUME WA KWELI> endelea kuupenda
GIRL> jomooon basi kesho Bata Wapi MWANAUME WA KWELI> kwenye banda Lao
GIRL> enheee nikwambie Jana nilipita pale kariakoo nikaiona iPhone 7 jamani niliipenda
MWANAUME WA KWELI > kesho ntakupa nauli ukaione tena
GIRL> nna hamu yakunywa Soda
MWANAUME WA KWELI> msichana kunywa soda huo ni uzamani msichana wa Sasa anakunywa sumu
GIRL> Begi langu la nguo nililiweka wapi sijui
Hadi penalti kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Punguzeni mnakaba mno
Bila kuuliza atakuwa tu ni mwanaume wa mkoani wa dar htuna mambo kama haaayoGIRL> baby wiki ya pili Sasa sijaenda saluni