Kukwambia nakupenda sio umepata kazi tumeelewana...

mtatufirisi
 
[emoji23][emoji23]
 
inategemeana unapondwa kiaje kama unafikishwa hadi kikeleni kilimanjaro
Nikwambie tu kuwa mpenzi wako mliokubaliana mtadumu nae milele huyo hawezi kukupiga mizinga. Uje unitake mie tuwe na mahusiano yasiyo rasmi kwanini usilipie?
Ukute mie sina shida ya sex kwa tamaa zako unataka kunila, nikupe bure ili iweje sasa? Hamna kitu km hicho..
 
Hivi unadhani kila mtu akiwa na mwanamke mmoja wengine wataishije!?
We are there to share our conjugal rights.

Lakini sio nipoonesha dalili za kukaribia uanze kukamua maziwa hata ng'ombe hujui Kama kweli anatoa.
Tengeneza bomba zuri la kufyonza bhana ndio uanze kufyonza taratiiibu!!

Siku ya Kwanza tu unaanza na kizinga!!
 
Hahaa ... huyo mwanamke au omba omba "!!!! . mke wangu Mother Confessor hana tabia hii Aisee .. nashukuru Mungu kwakuniletea huu Muujiza
 
Demi tatizo unamuonyesha mtu kuwa uko tayari kuoa na kutoa mahari lakin bado kwa maksudi anakufanya mradi.
Yaan ww kumwambia kuwa unampango wa kuoa ndio kama umefungua kitabu cha bank cheque ni vibomu mpaka kero.
 
Aisee. Taamaaa zangu nazileta kwako mrembo. Nipige vizinga vitatu tuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…