Kukwepa kwao hata kutaja neno ‘mauaji’ ni jibu tosha kabisa

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Leo imezinduliwa tume nyingine kuhusu kilichotokea Oktoba 29!

Sijui hizo tume zinazohusu Oktoba 29 zimefika ngapi na sijui ngapi zitaendelea kuundwa.

Hii ya leo inaitwa “Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria” katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Tokea waue maelfu ya Watanzania, wauaji hawa wameamua kuliondoa kabisa kwenye msamiati wao neno ‘mauaji’.

Ukwepaji wao huo wa kulitumia hilo neno ni ushahidi tosha kabisa kuwa ‘they are guilty as charged.

Wanazunguka mbuyu kwa kuunda tume zisizo na kichwa wala miguu. Tume zisizoeleweka.

Muhimu kuliko yote ni yale mauaji waliyoyafanya.

Hakuna maana yoyote ile kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha yaliyotokea.

Hakuna maana yoyote ile kuunda tume ya kuchunguza wahusika wa ghasia na ukiukwaji wa sheria.

Cha maana kuliko yote hapo ni yale mauaji waliyoyafanya na kwa vile dhamiri yao inawasuta, wanashindwa kuchunguza mauaji waliyoyatenda wao wenyewe.

Hawawezi kuunda tume ya kuchunguza hayo mauaji maana wanajua kila kitu kitawarudia wao na watashindwa kutoa majibu ya maswali yaliyopo.

Kwa mfano, mpaka sasa hivi hakuna mtu yoyote yule ambaye kajibu swali la nani alitoa agizo au maagizo ya watu kuuliwa kiholela namna ile.

Hakuna hata mmoja ambaye kajibu swali la kwa nini hawakutumia njia mbadala za kukabiliana na na hicho wanachokiita ghasia.

Wewe Samia utazunguka mibuyu yote na hakuna utayemshawishi na hivyo vitume vyako feki.

Hakuna kitachowachomoa kwenye uwajibikaji wa mauaji mliyoyatenda.

Halafu sasa jinsi wewe Samia usivyo na akili, eti unaenda kuleta jaji wa Museveni toka Uganda 🤣🤣.

Seriously, we bibi?

Hata mbwa wangu ana akili kukuzidi.

Trash.
 
Leo imezinduliwa tume nyingine kuhusu kilichotokea Oktoba 29!

Sijui hizo tume zinazohusu Oktoba 29 zimefika ngapi na sijui ngapi zitaendelea kuundwa.

Hii ya leo inaitwa “Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria” katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Tokea waue maelfu ya Watanzania, wauaji hawa wameamua kuliondoa kabisa kwenye msamiati wao neno ‘mauaji’.

Ukwepaji wao huo wa kulitumia hilo neno ni ushahidi tosha kabisa kuwa ‘they are guilty as charged.

Wanazunguka mbuyu kwa kuunda tume zisizo na kichwa wala miguu. Tume zisizoeleweka.

Muhimu kuliko yote ni yale mauaji waliyoyafanya.

Hakuna maana yoyote ile kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha yaliyotokea.

Hakuna maana yoyote ile kuunda tume ya kuchunguza wahusika wa ghasia na ukiukwaji waliyoyafanya sheria.

Cha maana kuliko yote hapo ni yale mauaji waliyoyafanya na kwa vile dhamiri yao inawasuta, wanashindwa kuchunguza mauaji waliyoyatenda wao wenyewe.

Hawawezi kuunda tume ya kuchunguza hayo mauaji maana wanajua kila kitu kitawarudia wao na watashindwa kutoa majibu ya maswali yaliyopo.

Kwa mfano, mpaka sasa hivi hakuna mtu yoyote yule ambaye kajibu swali la nani alitoa agizo au maagizo ya watu kuuliwa kiholela namna ile.

Hakuna hata mmoja ambaye kajibu swali la kwa nini hawakutumia njia mbadala za kukabiliana na na hicho wanachokiita ghasia.

Wewe Samia utazunguka mibuyu yote na hakuna utayemshawishi na hivyo vitume vyako feki.

Hakuna kitachowachomoa kwenye uwajibikaji wa mauaji mliyoyatenda.

Halafu sasa jinsi wewe Samia usivyo na akili, eti unaenda kuleta jaji wa Museveni toka Uganda 🤣🤣.

Seriously, we bibi?

Hata mbwa wangu ana akili kukuzidi.

Trash.
ccm wote Mungu atawahukumu kwa kilichotokea october
 
Hahaha imagine yaani kwanza museven ana tuhumiwa kukanyaga democracy kwenye Nchi yake sio Hilo tu pia ana tuhumiwa Kwa kuleta Police wauaji kuja kufanya mauaji Tanzania

Then Leo hii anakwenda kumchukia mtu wa kuchunguza Toka huko huko Kwa mu7

😁😁😁

Hili Taifa lifutwe Kuna watu Akili hawana kabisa
 
Taifa lina watu wenye akili wengi but decious makers hawako miongoni mwao
 
Wenye Akili ni wachache Mzee Tena sana that's kundi la wajinga limewazidi nguvu , mwenye Akili kutawaliwa na wajinga Hilo ni zaidi ya tatizo
Kundi la wenye akili lilikuwepo upto 1999, na early 2000s, baada ya bm mkapa ambae alihusudu wenye akili kuondoka

Wajinga wakashika hatam, hawajawahi kuataka kuachia nafasi kwnanamna yoyote
 
ccm wote Mungu atawahukumu kwa kilichotokea october
Majaji wa Uganda huwa wana akili, ila kwa kipindi hiki sio rafiki kwetu, huko Uganda kunatajwa walitoka wanajeshi wa kukodishwa (mamluki) na Mseveni jana ametoka huku huyo Jaji atakua ame mupoint yeye, Namibia the same maana Rais wa Namibia naye alipita kwa Mbinde angeleta Majaji kutoka South Africa,Uingereza au Kenya tungemheshimu.

Mbaya zaidi anaimbia tume ikachunguze nani alitoa fedha kuandamana wakati Tume ya Chande ilisema sababu moja wapo ni
1.Ufisadi
2.Kutokua na Tume huru ya uchaguzi
3.Umaskini na ukosefu wa ajira
4.Katiba mpya

Bado hajaona watoto 8 waliouliwa pale Mwanza kama ni jinai hata hajaagiza tume ikachunguze.

Kwa huyu bibi kupata kwake Urais taifa limeingia hasara
 
Cream nyingi zilingia Kwenye Employment Ivo hazikufanya Political games, Wachache Sana walikuwa willingly Kutoka Kwenye Utumishi na Kuingia Kwenye siasa, The Rest vyama vya siasa kama Pool vimejaa watu Fulani average Sana wamekuwa na Chances kwasababu unakuta miongoni mwao wasomi ni wachache na hao wasomi pia sio cream
 
Majaji wa Uganda huwa wana akili, ila kwa kipindi hiki sio rafiki kwetu, huko Uganda kunatajwa walitoka wanajeshi wa kukodishwa (mamluki) na Mseveni jana ametoka huku huyo Jaji atakua ame mupoint yeye, Namibia the same maana Rais wa Namibia naye alipita kwa Mbinde angeleta Majaji kutoka South Africa,Uingereza au Kenya tungemheshimu.

Mbaya zaidi anaimbia tume ikachunguze nani alitoa fedha kuandamana wakati Tume ya Chande ilisema sababu moja wapo ni
1.Ufisadi
2.Kutokua na Tume huru ya uchaguzi
3.Umaskini na ukosefu wa ajira
4.Katiba mpya

Bado hajaona watoto 8 waliouliwa pale Mwanza kama ni jinai hata hajaagiza tume ikachunguze.

Kwa huyu bibi kupata kwake Urais taifa limeingia hasara
Binafsi nchi za Afrika hakuna sehemu Salama na ya kujiamini maana wote ni walewale wapenda madaraka kwa nguvu.
 
HPHVZD-WoAAGif1.jpg

Au Abdul amchunguze Wanu kama kachepuka?
 
Hahaha imagine yaani kwanza museven ana tuhumiwa kukanyaga democracy kwenye Nchi yake sio Hilo tu pia ana tuhumiwa Kwa kuleta Police wauaji kuja kufanya mauaji Tanzania

Then Leo hii anakwenda kumchukia mtu wa kuchunguza Toka huko huko Kwa mu7

😁😁😁

Hili Taifa lifutwe Kuna watu Akili hawana kabisa
Wanajuana hao, ndio maana kamchukua mtu kutoka huko.
 
Mwalimu Nyerere alikuwa anapenda sana Kumuita Iddi Amin Dada kuwa ni Mwendawazimu.

Namimi nathubutu kumuita Huyu Mama ni Mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom