Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
ccm wote Mungu atawahukumu kwa kilichotokea octoberLeo imezinduliwa tume nyingine kuhusu kilichotokea Oktoba 29!
Sijui hizo tume zinazohusu Oktoba 29 zimefika ngapi na sijui ngapi zitaendelea kuundwa.
Hii ya leo inaitwa “Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria” katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Tokea waue maelfu ya Watanzania, wauaji hawa wameamua kuliondoa kabisa kwenye msamiati wao neno ‘mauaji’.
Ukwepaji wao huo wa kulitumia hilo neno ni ushahidi tosha kabisa kuwa ‘they are guilty as charged.
Wanazunguka mbuyu kwa kuunda tume zisizo na kichwa wala miguu. Tume zisizoeleweka.
Muhimu kuliko yote ni yale mauaji waliyoyafanya.
Hakuna maana yoyote ile kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha yaliyotokea.
Hakuna maana yoyote ile kuunda tume ya kuchunguza wahusika wa ghasia na ukiukwaji waliyoyafanya sheria.
Cha maana kuliko yote hapo ni yale mauaji waliyoyafanya na kwa vile dhamiri yao inawasuta, wanashindwa kuchunguza mauaji waliyoyatenda wao wenyewe.
Hawawezi kuunda tume ya kuchunguza hayo mauaji maana wanajua kila kitu kitawarudia wao na watashindwa kutoa majibu ya maswali yaliyopo.
Kwa mfano, mpaka sasa hivi hakuna mtu yoyote yule ambaye kajibu swali la nani alitoa agizo au maagizo ya watu kuuliwa kiholela namna ile.
Hakuna hata mmoja ambaye kajibu swali la kwa nini hawakutumia njia mbadala za kukabiliana na na hicho wanachokiita ghasia.
Wewe Samia utazunguka mibuyu yote na hakuna utayemshawishi na hivyo vitume vyako feki.
Hakuna kitachowachomoa kwenye uwajibikaji wa mauaji mliyoyatenda.
Halafu sasa jinsi wewe Samia usivyo na akili, eti unaenda kuleta jaji wa Museveni toka Uganda 🤣🤣.
Seriously, we bibi?
Hata mbwa wangu ana akili kukuzidi.
Trash.
Samia hana akili.Aibu kwa bibi msumi, anakwepa uwajibikaji yeye na serikali yake, kwa mauaji yale hata waunde tume zaidi ya elfu kumi bado haitawasafisha
Taifa lina watu wenye akili wengi but decious makers hawako miongoni mwaoHahaha imagine yaani kwanza museven ana tuhumiwa kukanyaga democracy kwenye Nchi yake sio Hilo tu pia ana tuhumiwa Kwa kuleta Police wauaji kuja kufanya mauaji Tanzania
Then Leo hii anakwenda kumchukia mtu wa kuchunguza Toka huko huko Kwa mu7
😁😁😁
Hili Taifa lifutwe Kuna watu Akili hawana kabisa
Wenye Akili ni wachache Mzee Tena sana that's kundi la wajinga limewazidi nguvu , mwenye Akili kutawaliwa na wajinga Hilo ni zaidi ya tatizoTaifa lina watu wenye akili wengi but decious makers hawako miongoni mwao
Kundi la wenye akili lilikuwepo upto 1999, na early 2000s, baada ya bm mkapa ambae alihusudu wenye akili kuondokaWenye Akili ni wachache Mzee Tena sana that's kundi la wajinga limewazidi nguvu , mwenye Akili kutawaliwa na wajinga Hilo ni zaidi ya tatizo
Majaji wa Uganda huwa wana akili, ila kwa kipindi hiki sio rafiki kwetu, huko Uganda kunatajwa walitoka wanajeshi wa kukodishwa (mamluki) na Mseveni jana ametoka huku huyo Jaji atakua ame mupoint yeye, Namibia the same maana Rais wa Namibia naye alipita kwa Mbinde angeleta Majaji kutoka South Africa,Uingereza au Kenya tungemheshimu.ccm wote Mungu atawahukumu kwa kilichotokea october
Binafsi nchi za Afrika hakuna sehemu Salama na ya kujiamini maana wote ni walewale wapenda madaraka kwa nguvu.Majaji wa Uganda huwa wana akili, ila kwa kipindi hiki sio rafiki kwetu, huko Uganda kunatajwa walitoka wanajeshi wa kukodishwa (mamluki) na Mseveni jana ametoka huku huyo Jaji atakua ame mupoint yeye, Namibia the same maana Rais wa Namibia naye alipita kwa Mbinde angeleta Majaji kutoka South Africa,Uingereza au Kenya tungemheshimu.
Mbaya zaidi anaimbia tume ikachunguze nani alitoa fedha kuandamana wakati Tume ya Chande ilisema sababu moja wapo ni
1.Ufisadi
2.Kutokua na Tume huru ya uchaguzi
3.Umaskini na ukosefu wa ajira
4.Katiba mpya
Bado hajaona watoto 8 waliouliwa pale Mwanza kama ni jinai hata hajaagiza tume ikachunguze.
Kwa huyu bibi kupata kwake Urais taifa limeingia hasara
Aiseeee
Wanajuana hao, ndio maana kamchukua mtu kutoka huko.Hahaha imagine yaani kwanza museven ana tuhumiwa kukanyaga democracy kwenye Nchi yake sio Hilo tu pia ana tuhumiwa Kwa kuleta Police wauaji kuja kufanya mauaji Tanzania
Then Leo hii anakwenda kumchukia mtu wa kuchunguza Toka huko huko Kwa mu7
😁😁😁
Hili Taifa lifutwe Kuna watu Akili hawana kabisa