Kula dagaa ni umaskini au maharage, sasa mbona bei iko juu?

Kula dagaa ni umaskini au maharage, sasa mbona bei iko juu?

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Maharage kilo 2800
Dagaa kilo 8000
Sasa kwanini ukila unaonekana hohehahe?
 
Maharage kilo 2800
Dagaa kilo 8000
Sasa kwanini ukila unaonekana hohehahe?
Kuna dagaa wa Kigoma.
Kg 1 ni Tsh 27,000/=
Hapo maskini hasogei, ni mboga ya matajiri.
images.jpg
 
Sasa mkuu unaweza kula dagaa kilo moja mlo mmoja?

Jaribu kitimoto kma humaliz kilo mwenyewe
 
Usifananishe kati ya UZITO NA UJAZO.

DAGAA KILO MOJA UNAWEZA KULA HADI WIKI 2

MAHARAGE UNAWEZA KULA SIKU 2 HADI 3

Upatikanaji wa maharage ni rahisi lkn bei iko juu. Lkn process za kupata dagaa ni ngumu lkn bado unapata kwa bei kama hiyo.

Kula dagaa ni UMASIKINI
 
Kama kula kabechi tuu
 
Mtu huulizwa amevaa nini haulizwi amekula nini. 🙁
 
Back
Top Bottom